:name ikoni

Signal - Mesenja ya faragha

Signal Foundation

Sema "jambo" kwa faragha.

Signal - Mesenja ya faragha picha ya skrini 0 Signal - Mesenja ya faragha picha ya skrini 1 Signal - Mesenja ya faragha picha ya skrini 2 Signal - Mesenja ya faragha picha ya skrini 3 Signal - Mesenja ya faragha picha ya skrini 4
Maelezo

Mamilioni ya watu wanatumia Signal kila siku bila malipo na mawasiliano ya papo kwa hapo mahali popote ulimwenguni. Tuma na kupokea ujumbe wa uaminifu wa hali ya juu, shiriki kwenye simu za HD za sauti/video, na gundua seti mpya ya vipengele inayokua na kukusaidia kuendelea kuunganishwa. Teknolojia ya juu ya uhifadhi wa faragha ya Signal imewezeshwa kila wakati, kwa hivyo unaweza kuzingatia kushiriki nyakati ambazo ni muhimu na watu ambao unaowanajali

• Sema chochote- Msimbo wa hali ya kisasa uliosimbwa mwisho hadi mwisho (unaowezeshwa na Itifaki ya programu huria ya itifaki ya Signal) huweka mazungumzo yako salama. Faragha sio hali ya hiari-ni njia ambayo Signal hufanya kazi. Kila ujumbe, kila simu, kila wakati.

Nenda haraka-Jumbe zinawasilishwa haraka na kwa uaminifu, hata kenye mitandao iliyo polepole. Signal imeboreshwa ili kufanya kazi kwenye mazingira magumu zaidi

•Kuwa huru-Signal ni shirika huru kabisa lisilo la kifaida la 501c3. Utengenezwaji wake unawezeshwa na watumiaji kama wewe. Haina matangazo. Haina programu fuatiliaji. Haina mzaha

• Kuwa wewe- Unaweza kutumia nambari yako ya simu ya sasa na kitabu chako cha anwani ili kuwasiliana na marafiki zako kwa njia salama.

• Zungumza- Ikiwa unaishi mjini mwingine au upande mwingine wa bahari, ubora ulioimarishwa wa sauti na video ya Signal kutafanya ujihisi karibu na jamaa na marafiki zako.

• Nong'ona kwenye vivuli-Badili hadi kwenye mandhari meusi iwapo hutaki kuona mwanga.

Jitambulishe -Chagua arifa zilizokaidishwa kwa kila mwasiliani, au ulemaze sauti kabisa. Simon na Garfunkel waliandika kibao maarufu kuihusu mnamo mwaka wa 1964, na unaweza kujaribu sauti ya kimya unapotaka kwa kuchagua ''Hakuna'' kama sauti ya arifa ya mlio wa simu yako.

• Ona hili-Tumia vipengele vilivyoundiwa ndani vya kuhariri taswira ili kuchora, kupogoa, na kugeuza picha zako unazotuma. Kuna zana ya ujumbe ili uongeze maneno zaidi hadi elfu moja ambayo ni thamani ya picha yako.


Kwa msaada, maswali, au taarifa zaidi, tafadhali tembelea:
https://msaada.signal.org

Msimbo chanzo:
https://github.com/signalapp

Tufuate kwenye Twitter (@signalapp) na Instagram (@signal_app) kwa taarifa zote za hivi punde na matangazo.

Habari
  • Jina la kifurushi org.thoughtcrime.securesms
  • Jamii Mawasiliano
  • Toleo jipya 5.18.3
  • License Free
  • Date 2021-07-27
  • Inapatikana kwenye google play
  • Msanidi programu Signal Foundation
  • Requirements Android 4.4+

Matoleo ya awali
Tazama zaidi
Signal - Mesenja ya faragha ikoni ya kati
5.18.3 2021.07.25

Signal - Mesenja ya faragha

APK

63.7 MB • Free Pakua

Signal - Mesenja ya faragha ikoni ya kati
5.17.3 2021.07.21

Signal - Mesenja ya faragha

APK

34.9 MB • Free Pakua

Signal - Mesenja ya faragha ikoni ya kati
5.16.3 2021.07.15
3 anuwai

Signal - Mesenja ya faragha

APK

35.8 MB • Free Pakua

Signal - Mesenja ya faragha ikoni ya kati
5.15.6 2021.07.01
3 anuwai

Signal - Mesenja ya faragha

APK

35.8 MB • Free Pakua

Signal - Mesenja ya faragha ikoni ya kati
5.15.3 2021.06.26

Signal - Mesenja ya faragha

APK

63.3 MB • Free Pakua

Signal - Mesenja ya faragha ikoni ya kati
5.15.2 2021.06.25

Signal - Mesenja ya faragha

APK

34.8 MB • Free Pakua

Signal - Mesenja ya faragha ikoni ya kati
5.15.1 2021.06.22

Signal - Mesenja ya faragha

APK

63.2 MB • Free Pakua

Signal - Mesenja ya faragha ikoni ya kati
5.14.5 2021.06.23

Signal - Mesenja ya faragha

APK

34.7 MB • Free Pakua

Programu zinazofanana