Kivinjari cha Opera Mini beta
-
4.3
: hakiki za hesabu -
58.0.2254.58387 Version
Zaidi Matoleo
Jaribu Opera Mini beta kujaribu vipengele vyetu vipya unapovinjari wavuti.
Pakua Opera Mini beta ya Android. Chungulia vipengele vyetu vipya vya kivinjari na uokoe data unapovinjari intaneti. Pata maudhui yako uyapendayo ya mtandaoni haraka zaidi.
** Pata habari ya vipengele vijavyo vya Opera Mini, kivinjari chetu bora cha Android matoleo ya 2.3 na juu, kwenye simu na kompyuta kibao. Opera Mini ni ya haraka, bila malipo na imeundwa vizuri sana. Hii ni beta na tunaomba maoni yako ili tukuundie kivinjari bora zaidi.
Opera Mini beta imeundwa kwa mwonekano wa asili na kufanywa kuwa rahisi kutumia. Kwa nguvu kidogo, usumbufu kidogo na kutazama vipengele vyetu vijavyo, Opera Mini beta inakupa hali bora zaidi ya kuvinjari. Fahamu kuwa hii ni programu ya beta.
Pakua Opera Mini beta na ufurahie mojawapo ya vivinjari vyenye kasi sana vya Android. Huwa ni vya bila malipo kusakinisha na kutumia. Kwa hivyo, jaribu njia ya haraka kuvinjari na kufurahia wavuti kwenye kifaa chako.
Asante kwa kujaribu Opera Mini beta.
Ikiwa unatafuta toleo thabiti la umma la Opera Mini, unaweza kulipakua hapa:
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.opera.mini.native
Tufahamishe jinsi tunavyoweza kuboresha Opera Mini. Tutembelee na utupe maoni kwenye http://forums.opera.com/Categories/en-opera-mini/.
Una maswali au unahitaji usaidizi? Tembelea http://www.opera.com/help/mini/android/.
Pata habari za sasa kuhusu Opera Software:
Twitter – http://twitter.com/opera/
Facebook – http://www.facebook.com/opera/
Sheria na Masharti
Kwa kupakua programu hii, unakubali Makubaliano ya Leseni ya Mtumiaji kwenye http://www.opera.com/eula/mobile. Pia, unaweza kujifunza jinsi Opera inavyotumia na kulinda data yako katika Taarifa yetu ya Faragha kwenye https://www.opera.com/privacy.