:name ikoni

Google Chrome

Google LLC

Google Chrome: kasi, rahisi na salama kwa simu na kompyuta kibao za Android.

Google Chrome picha ya skrini 0 Google Chrome picha ya skrini 1 Google Chrome picha ya skrini 2 Google Chrome picha ya skrini 3 Google Chrome picha ya skrini 4 Google Chrome picha ya skrini 5 Google Chrome picha ya skrini 6 Google Chrome picha ya skrini 7 Google Chrome picha ya skrini 8 Google Chrome picha ya skrini 9
Maelezo

Google Chrome ni kivinjari cha wavuti cha haraka, rahisi kutumia na salama. Kivinjari cha Chrome kilichotengenezwa ili kitumiwe kwenye Android, hukuletea makala ya habari zinazolingana na mapendeleo yako, viungo vya kukuwezesha kufikia tovuti uzipendazo kwa haraka na vipakuliwa. Huduma za Tafuta na Google na Google Tafsiri zimejumuishwa ndani. Ipakue sasa ili ufurahie matumizi sawa ya kivinjari cha wavuti unachopenda kwenye vifaa vyako vyote.

Vinjari haraka na uandike kidogo. Chagua kwenye matokeo ya utafutaji yanayokufaa ambayo yanaonekana moja kwa moja unapoandika na vinjari kwa haraka kurasa za wavuti ulizotembelea hapo awali. Jaza fomu za Google kwa haraka kwa kutumia kipengele cha Kujaza kiotomatiki.

Kuvinjari katika Hali Fiche. Tumia Hali Fiche ili uvinjari intaneti bila kuhifadhi historia yako ya kuvinjari. Vinjari kwa faragha kwenye vifaa vyako vyote.

Sawazisha Chrome kwenye Vifaa Vyote. Ukiingia kwenye Chrome, alamisho, manenosiri na mipangilio yako itasawazishwa kiotomatiki kwenye vifaa vyako vyote. Unaweza kufikia maelezo yako yote vizuri kwenye simu, kompyuta kibao au kompyuta yako ndogo.

Unaweza kupata maudhui yote uyapendayo kwa kugusa tu. Chrome haikuwezeshi tu kutafuta kwa haraka kwenye Huduma ya Tafuta na Google, bali imeundwa ili ikuwezeshe kupata maudhui yote uyapendayo kwa kugusa tu. Unaweza kugusa tovuti ya habari uzipendazo au mitandao ya jamii kwenye ukurasa wa kichupo kipya. Chrome pia ina kipengele cha “Gusa ili Utafute”- kwenye kurasa nyingi za wavuti. Unaweza kugusa neno au sentensi yoyote ili uanze kutafuta kwenye Google ukiwa bado kwenye ukurasa unaotumia.

Linda simu yako kwa kutumia kipengele cha Kuvinjari Salama na Google. Kipengele hiki cha Kuvinjari Salama na Google kimejumuishwa katika Chrome. Kipengele hiki huimarisha usalama wa simu yako kwa kukuonyesha onyo unapojaribu kuingia kwenye tovuti au kupakua faili hatari.

Pakua kwa haraka na uangalie kurasa za wavuti na video nje ya mtandao Chrome ina kitufe maalum cha kupakua, hivyo unaweza kupakua video, picha na kurasa nzima za wavuti kwa urahisi kwa kugonga mara moja tu. Chrome pia imejumuisha ukurasa wa mwanzo wa vipakuliwa, ambapo unaweza kufikia maudhui yote uliyopakua, hata ukiwa nje ya mtandao.

Huduma ya Tafuta na Google kwa Kutamka. Chrome ni kivinjari halisi cha wavuti unachoweza kuzungumza nacho. Tumia sauti yako ili upate majibu popote ulipo bila kuandika na bila kutumia mikono. Unaweza kuvinjari na kusogeza haraka zaidi kwa kutumia sauti yako mahali popote, wakati wowote.

Programu ya Google Tafsiri iliyojumuishwa: Tafsiri kurasa nzima za wavuti kwa haraka. Chrome ina programu ya Google Tafsiri iliyojumuishwa ili kukusaidia kutafsiri tovuti nzima kwa lugha yako kwa kugusa mara moja.

Tumia data chache ya mtandao wa simu na uongeze kasi ya wavuti. Washa Hali nyepesi na uokoe hadi asilimia 60 ya data. Chrome inaweza kubana maandishi, picha, video na tovuti bila kuathiri ubora.

Mapendekezo mahiri yaliboreshwa zaidi. Chrome inakupa huduma inayokufaa kwa mambo unayopenda. Kwenye ukurasa wa kichupo kipya, utapata makala yaliyochaguliwa na Chrome kulingana na mambo uliyovinjari awali.

Habari
  • Jina la kifurushi com.android.chrome
  • Jamii Mawasiliano
  • Toleo jipya 92.0.4515.115
  • License Free
  • Date 2021-07-12
  • Inapatikana kwenye google play
  • Msanidi programu Google LLC
  • Requirements Android 7.0+

Matoleo ya awali
Tazama zaidi
Google Chrome ikoni ya kati
92.0.4515.115 2021.07.24

Google Chrome

APK

100.7 MB • Free Pakua

Google Chrome ikoni ya kati
92.0.4515.105 2021.07.21

Google Chrome

APK

98.7 MB • Free Pakua

Google Chrome ikoni ya kati
91.0.4472.164 2021.07.20
2 anuwai

Google Chrome

APK

127.6 MB • Free Pakua

Google Chrome ikoni ya kati
91.0.4472.134 2021.06.30
2 anuwai

Google Chrome

APK

174.2 MB • Free Pakua

Google Chrome ikoni ya kati
91.0.4472.120 2021.06.23

Google Chrome

APK

97.7 MB • Free Pakua

Google Chrome ikoni ya kati
91.0.4472.114 2021.06.18

Google Chrome

APK

97.7 MB • Free Pakua

Google Chrome ikoni ya kati
91.0.4472.101 2021.06.10

Google Chrome

APK

97.7 MB • Free Pakua

Google Chrome ikoni ya kati
91.0.4472.88 2021.06.07

Google Chrome

APK

6.4 MB • Free Pakua

Programu zinazofanana