:name ikoni

1v1.LOL - Programu ya Kuiga Ujenzi na Ufyatuzi

JustPlay.LOL

Programu ya Kuiga Ujenzi: Zoea Ujenzi, Kurekebisha, Kulenga na Battle Royale

1v1.LOL - Programu ya Kuiga Ujenzi na Ufyatuzi picha ya skrini 0 1v1.LOL - Programu ya Kuiga Ujenzi na Ufyatuzi picha ya skrini 1 1v1.LOL - Programu ya Kuiga Ujenzi na Ufyatuzi picha ya skrini 2 1v1.LOL - Programu ya Kuiga Ujenzi na Ufyatuzi picha ya skrini 3 1v1.LOL - Programu ya Kuiga Ujenzi na Ufyatuzi picha ya skrini 4 1v1.LOL - Programu ya Kuiga Ujenzi na Ufyatuzi picha ya skrini 5 1v1.LOL - Programu ya Kuiga Ujenzi na Ufyatuzi picha ya skrini 6 1v1.LOL - Programu ya Kuiga Ujenzi na Ufyatuzi picha ya skrini 7 1v1.LOL - Programu ya Kuiga Ujenzi na Ufyatuzi picha ya skrini 8 1v1.LOL - Programu ya Kuiga Ujenzi na Ufyatuzi picha ya skrini 9
Maelezo

Pigana ili usalie katika mchezo wa kuvutia wa vita vya ujenzi unaoitwa Battle Royale ambapo mchezaji atakayesalia ndiye atashinda na kupata ushindi mkuu unaotamaniwa na wengi.

Zaidi ya watumiaji 500,000 hukusubiri kila siku ili mshindane katika 1v1!

Unaweza kupata sifa zipi kwenye ufyatuzi huu wa wachezaji wengi?

* Kupata mshindani kwa haraka:
Pata ushindani wa 1v1 dhidi ya mchezaji nasibu katika sekunde 3, wakati wowote. Wachezaji hawa ni halisi tu! wala sio roboti.

* HUD Unayoweza Kuweka Mapendeleo:
Virekebishaji vya vidhibiti vya viwango vya juu vinavyokuwezesha kudhibiti na kupanga vitufe vya skrini yako unavyopenda vyenye miundo na Mipangilio ya Builder Pro na Old School, ambayo unaweza kudhibiti kwa urahisi yenye kisaidizi cha ufyatuzi na inayoweza kujifyatua.

* Hali ya mazoezi:
Fanya mazoezi ya ujuzi wako wa ujenzi, urekebishaji na ufyatuzi kwa kutumia nyenzo na silaha mbalimbali kama vile bunduki ya ushambulizi, bunduki ya kufyatua na bila shaka shoka maalum.

* Kila mtu anaweza kucheza bila kulipa chochote:
Programu hii imeundiwa watu wote na hailipiwi, hauhitaji kulipa au kuwa na pasi ya shindano ili kucheza bila kikomo, ikilinganishwa na michezo mingine ya Battle Royale.
Isitoshe, huwa tunasasisha mchezo huu mara kwa mara – ili kuwafaa wachezaji!

* Tunakuletea hali zaidi za kufurahia hivi karibuni:
Kwa sasa unaweza kucheza hali ya mazoezi, hali ya 1v1 na hali ya vita ya BOX. Tunajitahidi kubuni hali nyingine bora na maeneo yenye uhakika wa vita kwenye dunia na maeneo ya vita mitandaoni.

Kwenye 1v1.LOL tuliweza kuunda programu ya mtandaoni ya PvP ya kuiga ufyatuzi ili kukuwezesha kupigana na wapinzani wako na kutumia hali mbalimbali ya ujenzi kujikinga dhidi ya maadui. Unaweza kutumia ngazi, ukuta au dari kujikinga, kuhepa risasi za maadui halisi na kuwashambulia kwa silaha unazopenda ili kufikia ushindi wako wa 1v1 FPS.

Ninapaswa kufanyaje ili nianze kucheza mchezo huu wa programu ya mtandaoni ya kuiga ujenzi na ufyatuzi?

1. Hauhitaji kujisali kupitia Facebook au Gmail, pakua tu programu na uanze kucheza kutumia kiigaji chako chako PvP 1v1.LOL!

2. Unda jina la mhusika linalolandana na ishara pepe utakayotumia katika Battle Royale na ushiriki mchezo wako wa kwanza mtandaoni kupitia hali ya mazoezi, ambapo unaweza kujaribu ujuzi wako wa ufyatuzi na ujenzi!

3. Sasa uko tayari kushiriki vita hivi hadi kifo katika hali ya wachezaji wengi na wachezaji halisi kutoka kote ulimwenguni. Kumbuka kushiriki na kuwaalika marafiki zako!
Progamu hii ya 1v1.LOL ya mtandaoni ya kuiga ujenzi ni mojawapo ya Battle Royale bora zaidi ambapo unaweza kujaribu ujuzi wako wa kupigana, ufyatuzi na ujenzi kupitia PvP hii ya wachezaji wengi.

Unasubiri nini ili uanze kushindana na marafiki zako?

Acha kuchati na marafiki zako na uanze kucheza na wandani wako ukitumia ishara za roboti kama kikosi cha askari maalum kwenye uwanja wa vita, kupigana na kujenga ,mahandaki, kupata silaha fiche na kushinda vita vya ulimwengu!

Je, wewe ni mfatuzi mlengaji shabaha, au ungependelea kutumia kisu, kushambulia kwa karibu kwa kutumia bunduki nzito, au bunduki ya kufyatua? Haijalishi wewe ni mfyatuzi wa aina gani, bunduki mimina risasi itakulinda na bunduki ya kurusha makombora itaangamiza kila kizuizi kilicho mbele yako. Una nafsi ya shujaa na kwa kutumia 1v1.LOL utaweza kumwangamiza askari maalum! kwenye mchezo wa myatuzi wa tatu.

* Anwani na ukaridiaji:
Tunakuhimiza kushiriki maoni na ukadiriaji na utoe majibu kuhusu mchezo kwenye sehemu ya maoni. It's in the game!

* Unaweza pia kutupata
kwenye: https://1v1.lol
Discord: https://discord.com/invite/bcjNwBS
Twitch: https://www.twitch.tv/directory/game/1v1.lol
Instagram: https://www.instagram.com/justbuild.lol
TikTok: https://www.tiktok.com/@1v1_lol

PAKUA 1v1.LOL It's in the game: justbuild.lol

Habari
  • Jina la kifurushi lol.onevone
  • Jamii Mapigano
  • Toleo jipya 3.400
  • License Free
  • Date 2021-07-27
  • Inapatikana kwenye google play
  • Msanidi programu JustPlay.LOL
  • Requirements Android 4.4+

Matoleo ya awali
Tazama zaidi
1v1.LOL - Programu ya Kuiga Ujenzi na Ufyatuzi ikoni ya kati
3.400 2021.07.21

1v1.LOL - Programu ya Kuiga Ujenzi na Ufyatuzi

APK

62.1 MB • Free Pakua

1v1.LOL - Programu ya Kuiga Ujenzi na Ufyatuzi ikoni ya kati
3.300 2021.07.11

1v1.LOL - Programu ya Kuiga Ujenzi na Ufyatuzi

APK

60.8 MB • Free Pakua

1v1.LOL - Programu ya Kuiga Ujenzi na Ufyatuzi ikoni ya kati
3.100 2021.06.22
2 anuwai

1v1.LOL - Programu ya Kuiga Ujenzi na Ufyatuzi

APK

51.8 MB • Free Pakua

1v1.LOL - Programu ya Kuiga Ujenzi na Ufyatuzi ikoni ya kati
3.0 2021.06.18

1v1.LOL - Programu ya Kuiga Ujenzi na Ufyatuzi

APK

49.6 MB • Free Pakua

1v1.LOL - Programu ya Kuiga Ujenzi na Ufyatuzi ikoni ya kati
2.700 2021.05.03

1v1.LOL - Programu ya Kuiga Ujenzi na Ufyatuzi

APK

50 MB • Free Pakua

1v1.LOL - Programu ya Kuiga Ujenzi na Ufyatuzi ikoni ya kati
2.400 2021.04.14

1v1.LOL - Programu ya Kuiga Ujenzi na Ufyatuzi

APK

32.1 MB • Free Pakua

1v1.LOL - Programu ya Kuiga Ujenzi na Ufyatuzi ikoni ya kati
2.300 2021.04.08

1v1.LOL - Programu ya Kuiga Ujenzi na Ufyatuzi

APK

49.9 MB • Free Pakua

1v1.LOL - Programu ya Kuiga Ujenzi na Ufyatuzi ikoni ya kati
2.200 2021.03.02

1v1.LOL - Programu ya Kuiga Ujenzi na Ufyatuzi

APK

45.8 MB • Free Pakua

Programu zinazofanana