:name ikoni

WhatsApp Messenger

WhatsApp LLC

Rahisi. Kibinafsi. Salama.

WhatsApp Messenger picha ya skrini 0 WhatsApp Messenger picha ya skrini 1 WhatsApp Messenger picha ya skrini 2 WhatsApp Messenger picha ya skrini 3 WhatsApp Messenger picha ya skrini 4
Maelezo

WhatsApp kutoka Facebook

WhatsApp Messenger ni programu ya BURE inayopatikana kwenye Android na simujanja zingine. WhatsApp inatumia muunganisho wa Intaneti ya simu yako (4G/3G/2G/EDGE au Wi-Fi, inavyopatikana) kukuwezesha kutuma jumbe kwa marafiki na familia. Badilisha kutoka SMS hadi WhatsApp ili kutuma na kupokea jumbe, ita simu, picha, video, nyaraka, na Jumbe za Sauti.

KWA NINI UTUMIE WHATSAPP:

• HAKUNA MALIPO: WhatsApp inatumia muunganisho wa Intaneti ya simu yako (4G/3G/2G/EDGE au Wi-Fi, inavyopatikana) kukuwezesha kutuma jumbe kwa marafiki na familia, ili usilipe kwa kila ujumbe au simu. * Hakuna tozo za kujiunga kutumia WhatsApp.

• MIDIA-ANUAI: Tuma na pokea picha, video, nyaraka, na Jumbe za Sauti.

• SIMU ZA BURE: Wapigie marafiki na familia simu bure kwa kutumia Simu ya WhatsApp, hata kama wapo kwenye nchi nyingine.* Simu za WhatsApp zinatumia muunganisho wa intaneti ya simu yako, badala ya dakika za mpango wa selula wa simu yako. (Kumbuka: Gharama za data zinaweza kutumika. Wasiliana na mtoa huduma wako kwa maelezo. Pia, huwezi kufikia nambari za huduma za dharura 911 kupitia WhatsApp).

• SOGA YA KIKUNDI: Furahia soga za kikundi na waasiliani wako ili uweze kuwasiliana na marafiki au familia yako.

• WHATSAPP WEB: Pia unaweza kutuma na kupokea jumbe za WhatsApp kutoka kwenye kivinjari cha kompyuta yako.

• HAKUNA GHARAMA ZA KIMATAIFA: Hakuna malipo ya ziada kwa kutuma jumbe za WhatsApp kimataifa. Piga soga na wapendwa duniani kote na epuka malipo ya kimataifa ya SMS.*

• SEMA HAPANA KWA MAJINA YA UTUMIAJI NA PIN: Kwa nini kujisumbua kukumbuka jina la mtumiaji au PIN nyingine? WhatsApp hutumia namba yako ya simu, kama vile SMS, na huunganika bila vikwazo na kitabu chako cha anwani cha simu kilichopo kwenye simu.

• UKO NDANI DAIMA: Kwenye WhatsApp, uko ndani daima kwa hivyo hukosi jumbe. Hakuna tena kuchanganyikiwa kama uko ndani au umejitoa.

• UNGANIKA HARAKA NA WAASILIANI WAKO: Kitabu chako cha anwani kinatumiwa haraka na kwa urahisi kukuunganisha na waasiliani wako ambao wana WhatsApp kwa hivyo hakuna haja ya kuongeza majina magumu kukumbuka.

• JUMBE ZA NJE YA MTANDAO: Hata ikiwa unakosa arifa zako au kuzima simu yako, WhatsApp itahifadhi jumbe zako za hivi karibuni hadi wakati utakapotumia programu.

• NA MENGINE ZAIDI: Shirikisha mahali ulipo, kubadilishana waasiliani, weka mandhari ya kipekee na sauti za taarifa, tuma historia ya soga kwa barua pepe, tangaza jumbe kwa waasiliani wengi kwa mara moja, na zaidi!

\*Gharama za data zinaweza kutumika. Wasiliana na mtoa huduma wako kwa maelezo.

---------------------------------------------------------
Huwa tunafurahi kusikia kutuka kwako! Kama una maoni, maswali au wasiwasi, tafadhali tutumie barua pepe kwa:

[email protected]

au tufuate kwenye twitter:

http://twitter.com/WhatsApp
@WhatsApp
---------------------------------------------------------

Habari
  • Jina la kifurushi com.whatsapp
  • Jamii Mawasiliano
  • Toleo jipya 2.22.16.6
  • License Free
  • Date 2021-06-22
  • Inapatikana kwenye google play
  • Msanidi programu WhatsApp LLC
  • Requirements Android 4.1+

Matoleo ya awali
Tazama zaidi
WhatsApp Messenger ikoni ya kati
2.22.16.6 2022.08.16

WhatsApp Messenger

APK

39.9 MB • Free Pakua

WhatsApp Messenger ikoni ya kati
2.21.16.1 2021.07.27

WhatsApp Messenger

APK

34 MB • Free Pakua

WhatsApp Messenger ikoni ya kati
2.21.15.15 2021.07.24

WhatsApp Messenger

APK

33.9 MB • Free Pakua

WhatsApp Messenger ikoni ya kati
2.21.15.10 2021.07.21

WhatsApp Messenger

APK

33.9 MB • Free Pakua

WhatsApp Messenger ikoni ya kati
2.21.15.4 2021.07.15

WhatsApp Messenger

APK

34 MB • Free Pakua

WhatsApp Messenger ikoni ya kati
2.21.14.25 2021.07.20

WhatsApp Messenger

APK

44.3 MB • Free Pakua

WhatsApp Messenger ikoni ya kati
2.21.14.3 2021.06.30

WhatsApp Messenger

APK

33.5 MB • Free Pakua

WhatsApp Messenger ikoni ya kati
2.21.13.29 2021.07.09

WhatsApp Messenger

APK

43.3 MB • Free Pakua

Programu zinazofanana