:name ikoni

Gboard - Kibodi ya Google

Google LLC

  • 4.5

    : hakiki za hesabu
  • 10.8.06.382062350-beta-armeabi-v7a Version

    Zaidi Matoleo

Kuandika kwa haraka na kwa njia mahiri ukitumia Emoji, GIF na zaidi

Gboard - Kibodi ya Google picha ya skrini 0 Gboard - Kibodi ya Google picha ya skrini 1 Gboard - Kibodi ya Google picha ya skrini 2 Gboard - Kibodi ya Google picha ya skrini 3 Gboard - Kibodi ya Google picha ya skrini 4 Gboard - Kibodi ya Google picha ya skrini 5 Gboard - Kibodi ya Google picha ya skrini 6 Gboard - Kibodi ya Google picha ya skrini 7 Gboard - Kibodi ya Google picha ya skrini 8 Gboard - Kibodi ya Google picha ya skrini 9
Maelezo

Gboard ina kila kitu unachopenda kuhusu Kibodi ya Google—kasi na kutegemewa, Kuandika kwa Kutelezesha Kidole, kuandika kwa kutamka na zaidi

Kuandika kwa Kutelezesha Kidole — Andika kwa haraka kwa kutelezesha kidole chako kutoka kwenye herufi moja hadi nyingine

Kuandika kwa kutamka — Tamka maandishi kwa urahisi popote ulipo

Kuandika kwa mkono* — Andika kwa herufi zilizoviringwa na zilizochapishwa

Kutafuta Emoji* — Pata emoji kwa haraka

GIF* — Tafuta na ushiriki GIF ili utoe maoni bora zaidi.

Kuandika katika lugha nyingi — Hamna kubadili lugha mwenyewe. Gboard itapendekeza na kusahihisha kiotomatiki kutoka kwenye lugha zozote ulizochagua.

Google Tafsiri — Tafsiri unapoandika kwenye kibodi

* Haitumiki kwenye vifaa vya Android Go
Mamia ya aina za lugha, ikiwa ni pamoja na:
Kiafrikana, Kiamhariki, Kiarabu, Kiasami, Kiazabaijani, Kibavaria, Kibengali, Kibhojpuri, Kibumizi, Kisebuano, Kichatisgarhi, Kichina (Kimandarini, Kikantoni na nyinginezo), Kichitagonia, Kicheki, Kidekani, Kiholanzi, Kiingereza, Kifilipino, Kifaransa, Kijerumani, Kigiriki, Kigujarati, Kihausa, Kihindi, Kiigbo, Kiindonesia, Kiitaliano, Kijapani, Kijava, Kikannada, Kikhema, Kikorea, Kikurdi, Kimagahi, Kimaithili, Kimalesia, Kimalayalam, Kimarathi, Kinepali, Kisotho cha Kaskazini, Kiodia, Kipashto, Kiajemi, Kipolandi, Kireno, Kipunjabi, Kiromania, Kirusi, Kisaraiki, Kisindhi, Kisinhala, Kisomali, Kisotho cha Kusini, Kihispania, Kisunda, Kiswahili, Kitamili, Kitelugu, Kitai, Kitswana, Kituruki, Kiukraini, Kiurdu, Kiuzbeki, Kivietinamu, Kikhosa, Kiyoruba, Kizulu na nyingine nyingi! Tembelea https://goo.gl/fMQ85U ili upate orodha kamili ya lugha zinazotumika

Vidokezo muhimu:
• Kidhibiti cha kishale cha ishara: Telezesha kidole chako kwenye upau wa nafasi ili usogeze kishale
• Kufuta ishara: Telezesha kushoto kutoka kwenye kitufe cha kufuta ili ufute kwa haraka maneno mengi
• Fanya safu ya nambari ipatikane kila wakati (washa katika Mipangilio → Mapendeleo→ Safu ya Nambari)
• Vidokezo vya alama: Onyesha vidokezo vya haraka kwenye vitufe vyako ili ufikie alama kwa kubonyeza kwa muda mrefu (washa katika Mipangilio → Mapendeleo → Bonyeza kwa muda mrefu ili upate alama)
• Hali ya kutumia kwa mkono mmoja: Kwenye simu zenye skrini kubwa, bandika kibodi upande wa kushoto au kulia mwa skrini
• Mandhari: Chagua mandhari yako mwenyewe, yenye mipaka au yasiyo na mipaka muhimu

Habari
  • Jina la kifurushi com.google.android.inputmethod.latin
  • Jamii Zana
  • Toleo jipya 10.8.06.382062350-beta-armeabi-v7a
  • License Free
  • Date 2021-07-27
  • Inapatikana kwenye google play
  • Msanidi programu Google LLC
  • Requirements Android 6.0+

Matoleo ya awali
Tazama zaidi
Gboard - Kibodi ya Google ikoni ya kati
10.8.06.382062350-beta-armeabi-v7a 2021.07.22

Gboard - Kibodi ya Google

APK

54.9 MB • Free Pakua

Gboard - Kibodi ya Google ikoni ya kati
10.8.05.382062350-release-armeabi-v7a 2021.07.27

Gboard - Kibodi ya Google

APK

54.4 MB • Free Pakua

Gboard - Kibodi ya Google ikoni ya kati
10.7.05.377032818-release-arm64-v8a 2021.07.15

Gboard - Kibodi ya Google

APK

67.8 MB • Free Pakua

Gboard - Kibodi ya Google ikoni ya kati
10.7.05.377032818-release-x86 2021.07.26

Gboard - Kibodi ya Google

APK

70.9 MB • Free Pakua

Gboard - Kibodi ya Google ikoni ya kati
10.7.04.377032818-beta-armeabi-v7a 2021.06.22

Gboard - Kibodi ya Google

APK

54.4 MB • Free Pakua

Gboard - Kibodi ya Google ikoni ya kati
10.7.03.377032818-release-arm64-v8a 2021.07.07

Gboard - Kibodi ya Google

APK

67.8 MB • Free Pakua

Gboard - Kibodi ya Google ikoni ya kati
10.7.03.377032818-release-armeabi-v7a 2021.06.29

Gboard - Kibodi ya Google

APK

53.9 MB • Free Pakua

Gboard - Kibodi ya Google ikoni ya kati
10.6.02.371892758-release-arm64-v8a 2021.06.11

Gboard - Kibodi ya Google

APK

67.5 MB • Free Pakua

Programu zinazofanana