SayHi Tafsiri
-
4.6
: hakiki za hesabu -
5.0.0 Version
Zaidi Matoleo
Zungumza katika lugha mbili na usikie sauti yako ikitafsiriwa papo hapo.
Zungumza lugha nyingine papo hapo, bila malipo, kwa kutumia SayHi Tafsiri kwenye Android! Zungumza katika lugha mbili na usikie sauti yako ikitafsiriwa papo hapo.
Programu iliangaziwa na: NBC Today Show, Lifehacker, Gizmodo, TUAW, TechCrunch
********************************************
+ Kwa kutumia SayHi Tafsiri ya Android, unaweza kutafsiri kwenda na kutoka lugha zifuatazo:
Kiafrikana, Kiarabu, Kibengali, Kibosnia, Kibulgaria, Kichina (Kikantoni - Ya Jadi), Kichina (Kimandili), Kikatalani, Kikrodo, Kicheki, Kidenmaki, Kiholanzi, Kiingereza, Kiestonia, Kifijani, Kifilipino, Kifini, Kifaransa, Kijerumani, Kigiriki, Kikreoli cha Haiti, Kiyahudi, Kihindi, Kimong daw, Kihungaria, Kiindonesia, Kiitaliano, Kijapani, Kikorea, Kilativia, Kilitwania, Kimadagaska, Kimalay, Kimalta, Kinorwe, Kiajemi, Kipolishi, Kireno, Kitami, Kirusi, Kiserbia, Kislovakia, Kislovenia, Kisamoa, Kihispania, Kiswahili, Kiswidi, Kitami, Kitai, Kitongoni, Kituruki, Kiukraini, Kiurdu, Kivietinamu, Kiwelishi
+ Lugha zifuatazo zina usaidizi wa lugha:
Kiarabu: Aljeria, Bahareni, Misri, Iraki, Yordani, Kuwaiti, Libya, Moroko, Omani, Palestina, Katari, Saudia, Tunisia, Falme za Kiarabu, Yemeni
Kiingereza: Australia, Kanada, India, Nyuzilandi, Afrika Kusini, Uingereza, Marekani
Kifaransa: Kanada, Ufaransa
Kiitaliano: Italia, Uswisi
Kimandiko: China (Kichina Kilichorahisishwa), Taiwani (Kichina cha Jadi)
Kireno: Brazili, Ureno
Kihispania: Ajentina, Bolivia, Kolombia, Kostarika, Jamhuri ya Dominika, El Salvador, Gwatemala, Honduras, Meksiko, Nikaragwa, Panama, Paragwai, Peruu, Pwetoriko, Uhispania, Urugwai, Marekani, Venezuela
+ Nzuri:
Tuliipa SayHi mwonekano, wa kisasa.
+ Usogezaji mpya:
Gusa kitufe cha menyu ili ufikie mipangilio na zaidi.
+ Lugha kiganjani mwako:
Badilisha lugha kwa haraka, chagua sauti za kiume au za kike (zinapopatikana) na ongeza au upunguze kasi ya usemi
+ Shikilia ili uandike:
Shikilia kitufe cha maikrofoni ili ufungue kibodi kwa haraka.
+ Nakili na ushiriki:
Gusa na ushikilie tafsiri ili unakili au ushiriki mazungumzo yako kwa urahisi kupitia barua pepe, SMS, Facebook au Twitter.
+ Imejanibishwa katika lugha nyingi
+ Inafikiwa Kirahisi:
Android Talkback inatumiwa na usogezaji umeboreshwa kwa ajili ya ufikivu.
+ Inafaa ikiwa ungependa kujifunza lugha mpya, kusafiri kwenda nchi ya kigeni au kupiga gumzo na watu ambao hawazungumzi lugha yako.
+ Muunganisho wa Intaneti unahitajika kutumia programu, ruhusa za maikrofoni zinahitajika kwa ajili ya tafsiri za sauti, ruhusa za arifa zinazotumwa na programu zinahitajika ili kukusaidia ugundue lugha mpya wakati unasafiri na kupokea taarifa za hivi karibuni kutoka timu ya SayHi.
+ Sera ya faragha na masharti ya matumizi: https://www.sayhitranslate.com/privacy/