:name ikoni

Google

Google LLC

Njia bora zaidi ya utafutaji popote ulipo.

Google picha ya skrini 0 Google picha ya skrini 1 Google picha ya skrini 2 Google picha ya skrini 3 Google picha ya skrini 4 Google picha ya skrini 5 Google picha ya skrini 6 Google picha ya skrini 7 Google picha ya skrini 8 Google picha ya skrini 9
Maelezo

Programu ya Google hukupa taarifa kuhusu mambo unayohitaji kujua. Pata majibu kwa haraka, kagua mambo yanayokuvutia na upate mipasho ya taarifa kuhusu mambo muhimu. Programu hii inakuwa bora kadri unavyoitumia.

Tafuta na ukague:
- Mikahawa na maduka ya karibu
- Ratiba na matokeo ya moja kwa moja ya michezo
- Maoni, wahusika na wakati wa filamu
- Video na picha
- Habari, maelezo ya hisa na zaidi
- Chochote utakacho kwenye wavuti

Arifa na mipasho uliyowekea mapendeleo*:
- Pata habari pamoja na taarifa kuhusu hali ya hewa asubuhi
- Pata taarifa kuhusu spoti, filamu na matukio
- Fuatilia mabadiliko ya hivi majuzi kwenye soko la hisa
- Pata maelezo na taarifa kuhusu mambo yanayokuvutia

Je, muunganisho wako si thabiti?
- Google itaimarisha matokeo kiotomatiki ili kuboresha hali ya upakiaji wakati kuna muunganisho dhaifu
- Ikiwa Google haiwezi kukamilisha utafutaji, utapata arifa yenye matokeo ya utafutaji pindi muunganisho utakapokuwa thabiti

Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi unavyoweza kujinufaisha zaidi kutokana na programu ya Google kwenye: http://www.google.com/search/about
*huenda vipengele visipatikane katika nchi zote

Habari
  • Jina la kifurushi com.google.android.googlequicksearchbox
  • Jamii Zana
  • Toleo jipya 12.28.8.23.arm64
  • License Free
  • Date 2021-07-27
  • Inapatikana kwenye google play
  • Msanidi programu Google LLC
  • Requirements Android 6.0+

Matoleo ya awali
Tazama zaidi
Google ikoni ya kati
12.28.8.23.arm64 2021.07.24

Google

APK

171 MB • Free Pakua

Google ikoni ya kati
12.27.9.23.arm 2021.07.20

Google

APK

147.1 MB • Free Pakua

Google ikoni ya kati
12.25.10.23.arm 2021.07.07

Google

APK

146.7 MB • Free Pakua

Google ikoni ya kati
12.24.9.23.arm64 2021.06.22

Google

APK

167.6 MB • Free Pakua

Google ikoni ya kati
12.23.16.23.arm 2021.06.22

Google

APK

137.4 MB • Free Pakua

Google ikoni ya kati
12.22.7.23.arm 2021.06.11

Google

APK

134.4 MB • Free Pakua

Google ikoni ya kati
12.21.11.23.arm64 2021.06.05

Google

APK

164.7 MB • Free Pakua

Google ikoni ya kati
12.20.8.23.arm64 2021.05.27

Google

APK

164.4 MB • Free Pakua

Programu zinazofanana