:name ikoni

Kipengele cha kusoma kwa Sauti

Google LLC

Acha kifaa chako kizungumze

Kipengele cha kusoma kwa Sauti picha ya skrini 0 Kipengele cha kusoma kwa Sauti picha ya skrini 1 Kipengele cha kusoma kwa Sauti picha ya skrini 2 Kipengele cha kusoma kwa Sauti picha ya skrini 3 Kipengele cha kusoma kwa Sauti picha ya skrini 4 Kipengele cha kusoma kwa Sauti picha ya skrini 5 Kipengele cha kusoma kwa Sauti picha ya skrini 6 Kipengele cha kusoma kwa Sauti picha ya skrini 7
Maelezo

Mtambo wa Google wa kusoma maandishi kwa sauti huwezesha programu kusoma ujumbe wa maandishi kwenye skrini ya kifaa chako kwa sauti. Kwa mfano, mtambo huu unaweza kutumiwa na:
• Programu ya Vitabu vya Google Play ili “Kusoma kwa Sauti” kitabu ukipendacho
• Google Tafsiri ili kutamka tafsiri kwa sauti na uweze kusikia matamshi ya neno
• TalkBack na zana za walio na matatizo ya kuona au kusikia ili kupata maelezo yanayotamkwa kwenye kifaa chako
• ... na programu zinginezo katika Duka la Google Play

Ili utumie mtambo wa Google wa kutamka maandishi kwa sauti katika kifaa chako cha Android, nenda kwenye Mipangilio >Lugha, Kibodi na Sauti > Kusoma Maandishi kwa Sauti. Weka Mtambo wa Google wa Kusoma Maandishi kwa Sauti kama chaguo unalopendelea. Kumbuka, kwenye vifaa vingi vya Android, tayari mtambo wa Google wa kusoma maandishi kwa sauti huwa imewashwa, lakini unaweza kupata toleo jipya hapa.

Lugha zinazotumika: Kibangla (Bangladeshi), Kibangla (India), Kikantoni (Hong Kong), Kicheki, Kidani, Kidachi, Kiingereza (Australia), Kiingereza (India), Kiingereza (Uingereza), Kiingereza (Marekani), Kiestonia, Kifilipino, Kifini, Kifaransa, Kijerumani, Kigiriki, Kihindi, Kihungari, Kiindonesia, Kiitaliano, Kijapani, Kikhmer, Kikorea, Kimandarini (Uchina), Kimandarini (Taiwani), Kinepali, Kinorwe, Kipoli, Kireno (Brazil), Kiromania, Kirusi, Kisinhala, Kislovakia, Kihispania (Uhispania), Kihispania (Marekani), Kiswidi, Kitai, Kituruki, Kiukreni na Kivietinamu.

Habari
  • Jina la kifurushi com.google.android.tts
  • Jamii Zana
  • Toleo jipya 26.2.4.385195680
  • License Free
  • Date 2021-07-27
  • Inapatikana kwenye google play
  • Msanidi programu Google LLC
  • Requirements Android 6.0+

Matoleo ya awali
Tazama zaidi
Kipengele cha kusoma kwa Sauti ikoni ya kati
26.2.4.385195680 2021.07.22
4 anuwai

Kipengele cha kusoma kwa Sauti

APK

37 MB • Free Pakua

Kipengele cha kusoma kwa Sauti ikoni ya kati
26.2.2.381581064 2021.07.20

Kipengele cha kusoma kwa Sauti

APK

30.2 MB • Free Pakua

Kipengele cha kusoma kwa Sauti ikoni ya kati
25.2.1.361632836 2021.03.29
4 anuwai

Kipengele cha kusoma kwa Sauti

APK

36.5 MB • Free Pakua

Kipengele cha kusoma kwa Sauti ikoni ya kati
24.9.361717975 2021.03.15

Kipengele cha kusoma kwa Sauti

APK

30.7 MB • Free Pakua

Kipengele cha kusoma kwa Sauti ikoni ya kati
24.5.347911411 2021.01.10

Kipengele cha kusoma kwa Sauti

APK

30.7 MB • Free Pakua

Kipengele cha kusoma kwa Sauti ikoni ya kati
23.15.348055456 2021.02.02

Kipengele cha kusoma kwa Sauti

APK

19.5 MB • Free Pakua

Kipengele cha kusoma kwa Sauti ikoni ya kati
23.12.333383720 2020.11.19

Kipengele cha kusoma kwa Sauti

APK

19.5 MB • Free Pakua

Kipengele cha kusoma kwa Sauti ikoni ya kati
22.14.333780138 2021.05.12

Kipengele cha kusoma kwa Sauti

APK

25.7 MB • Free Pakua

Programu zinazofanana