:name ikoni

Google Tafsiri

Google LLC

Mawasiliano ni rashisi kuliko awali ukiwa na zaidi ya lugha 100

Google Tafsiri picha ya skrini 0 Google Tafsiri picha ya skrini 1 Google Tafsiri picha ya skrini 2 Google Tafsiri picha ya skrini 3 Google Tafsiri picha ya skrini 4 Google Tafsiri picha ya skrini 5 Google Tafsiri picha ya skrini 6 Google Tafsiri picha ya skrini 7 Google Tafsiri picha ya skrini 8 Google Tafsiri picha ya skrini 9
Maelezo

• Tafsiri ya maandishi: Tafsiri kati ya lugha108 kwa kucharaza
• Gusa ili Utafsiri: Nakili tu maandishi katika programu yoyote na uguse aikoni ya Google Tafsiri ili utafsiri (lugha zote)
• Nje ya mtandao: Tafsiri bila muunganisho wa intaneti (lugha (59)
• Tafsiri ya papo hapo kwenye kamera: Tafsiri maandishi katika picha papo hapo kwa kuelekeza kamera yako tu (lugha 94)
• Picha: Piga picha au uzilete kutoka mahali pengine ili upate tafsiri zenye ubora wa juu zaidi (lugha 90)
• Mazungumzo: Tafsiri mazungumzo ya lugha mbili moja kwa moja (lugha 70)
• Mwandiko: Chora herufi za maandishi badala ya kucharaza (lugha 96)
• Kitabu cha Tafsiri: Weka nyota na uhifadhi maneno na sentensi ulizotafsiri ili uzirejelee baadaye (lugha zote)
• Usawazishaji wa baina ya vifaa: Ingia ili usawazishe kitabu cha tafsiri kati ya programu na kompyuta ya mezani
• Kipengele cha Kunukuu: Tafsiri kwa mfululizo mtu anapozungumza lugha tofauti karibu wakati huo huo (lugha 8)

Tafsiri kati ya lugha zifuatazo zinawezekana:
Kiafrikana, Kiaislandi, Kiajemi, Kialbania, Kiamhariki, Kiarabu, Kiarmenia, Kiayalandi, Kiazebaijani, Kibaski, Kibelarusi, Kibengali, Kibosnia, Kibulgaria, Kiburma, Kicheki, Kichewa, Kichina (cha Kitamaduni), Kichina (Rahisi), Kidenmaki, Kiebrania, Kiesperanto, Kiestonia, Kifaransa, Kifilipino, Kifini, Kifrisia, Kigaeli-Skoti, Kigalisia, Kigiriki, Kigujarati, Kihausa, Kihawaii, Kihindi, Kihispania, Kihmong, Kiholanzi, Kihungari, Kiigbo, Kiindonesia, Kiingereza, Kiitaliano, Kijapani, Kijava, Kijerumani, Kijiojia, Kikambodia, Kikannada, Kikatalani, Kikazakh, Kikirgizi, Kikorea, Kikorsika, Kikroeshia, Kikurdi, Kilao, Kilasembagi, Kilatini, Kilatvia, Kilithuania, Kimalagasi, Kimalayalam, Kimalesia, Kimalta, Kimaori, Kimarathi, Kimasedonia, Kimongolia, Kinepali, Kinorwe, Kinyarwanda, Kipashto, Kipolandi, Kipunjabi, Kireno, Kiromania, Kirusi, Kisamoa, Kisebuano, Kiserbia, Kishona, Kisindhi, Kisinhala, Kislovakia, Kislovenia, Kisomali, Kisotho, Kisunda, Kiswahili, Kiswidi, Kitajiki, Kitamil, Kitatari, Kitelugu, Kithai, Kituruki, Kiturukimeni, Kiuiguri, Kiukrani, Kiurdu, Kiuzbeki, Kivietnam, Kiwelshi, Kixhosa, Kiyidi, Kiyoruba, Kizulu, Krioli ya Haiti, Odia (Oriya)

Taarifa ya Ruhusa
Google Tafsiri inaweza kuomba ruhusa ya kufikia vipengele vifuatavyo:
• Maikrofoni kwa ajili ya tafsiri ya kutamka
• Kamera kwa ajili ya kutafsiri maandishi kupitia kamera
• SMS kwa ajili ya kutafsiri ujumbe
• Hifadhi ya nje kwa ajili ya kupakua data ya kutafsiri nje ya mtandao
• Akaunti na vitambulisho vya kuingia katika kifaa na kusawazisha kwenye vifaa vyote

Habari
  • Jina la kifurushi com.google.android.apps.translate
  • Jamii Zana
  • Toleo jipya 6.20.0.02.383428762
  • License Free
  • Date 2021-07-27
  • Inapatikana kwenye google play
  • Msanidi programu Google LLC
  • Requirements Android 6.0+

Matoleo ya awali
Tazama zaidi
Google Tafsiri ikoni ya kati
6.20.0.02.383428762 2021.07.12
2 anuwai

Google Tafsiri

APK

47.8 MB • Free Pakua

Google Tafsiri ikoni ya kati
6.18.0.07.383562912 2021.07.08

Google Tafsiri

APK

39.3 MB • Free Pakua

Google Tafsiri ikoni ya kati
6.18.0.06.376053713 2021.06.02
2 anuwai

Google Tafsiri

APK

47.2 MB • Free Pakua

Google Tafsiri ikoni ya kati
6.18.0.05.374988864 2021.05.26

Google Tafsiri

APK

39.3 MB • Free Pakua

Google Tafsiri ikoni ya kati
6.17.1.05.375740169 2021.05.26

Google Tafsiri

APK

37.6 MB • Free Pakua

Google Tafsiri ikoni ya kati
6.17.1.04.359877260 2021.03.17

Google Tafsiri

APK

37.6 MB • Free Pakua

Google Tafsiri ikoni ya kati
6.17.0.02.357621627 2021.02.22

Google Tafsiri

APK

37.6 MB • Free Pakua

Google Tafsiri ikoni ya kati
6.16.0.04.358724197 2021.02.22

Google Tafsiri

APK

29.1 MB • Free Pakua

Programu zinazofanana