:name ikoni

Google Go: Ni njia rahisi na ya haraka ya kutafuta

Google LLC

Pata kila kitu unachohitaji katika programu moja

Google Go: Ni njia rahisi na ya haraka ya kutafuta picha ya skrini 0 Google Go: Ni njia rahisi na ya haraka ya kutafuta picha ya skrini 1 Google Go: Ni njia rahisi na ya haraka ya kutafuta picha ya skrini 2 Google Go: Ni njia rahisi na ya haraka ya kutafuta picha ya skrini 3 Google Go: Ni njia rahisi na ya haraka ya kutafuta picha ya skrini 4 Google Go: Ni njia rahisi na ya haraka ya kutafuta picha ya skrini 5 Google Go: Ni njia rahisi na ya haraka ya kutafuta picha ya skrini 6
Maelezo

Google Go ni njia rahisi na ya haraka ya kutafuta. Ina matokeo bora ya utafutaji ambayo yatakufanya uokoe hadi 40% ya data.

Pata majibu ya uhakika na haraka ukitumia Google Go, hata kama una muunganisho wa pole pole na simu mahiri zenye hifadhi ndogo. Ina ukubwa wa MB 7 na unaweza kuipakua kwa haraka. Haitumii nafasi nyingi kwenye simu yako.

Andika maneno machache na utagundua mambo mengi. Okoa muda kwa kugusa mada na hoja zinazovuma, au kwa kutumia sauti yako kutamka vitu unavyotafuta.

Pata kila kitu unachohitaji katika programu moja. Fikia kwa haraka na kwa urahisi programu na tovuti unazopenda, pamoja na picha, video na maelezo yanayohusu vitu unavyofuatilia - yote haya yanafanyika kwenye Google Go.

Usikose kupata taarifa kuhusu mada maarufu na zinazovuma. Gundua mada mpya zinazovuma kwa kugusa tu Tafuta.

Pata salamu bora utakazowatumia uwapendao. Gusa “Picha” au “GIF” ili upate picha nzuri zaidi na salamu zilizohuishwa ili uboreshe gumzo lako.

Chochote unachotafuta kwenye intaneti, utakipata kwa haraka na kwa urahisi ukitumia Google Go!

Habari
  • Jina la kifurushi com.google.android.apps.searchlite
  • Jamii Zana
  • Toleo jipya 3.33.383058919.release
  • License Free
  • Date 2021-07-27
  • Inapatikana kwenye google play
  • Msanidi programu Google LLC
  • Requirements Android 6.0+

Matoleo ya awali
Tazama zaidi
Google Go: Ni njia rahisi na ya haraka ya kutafuta ikoni ya kati
3.33.383058919.release 2021.07.15
3 anuwai

Google Go: Ni njia rahisi na ya haraka ya kutafuta

APK

13.4 MB • Free Pakua

Google Go: Ni njia rahisi na ya haraka ya kutafuta ikoni ya kati
3.32.383239992.release 2021.07.09

Google Go: Ni njia rahisi na ya haraka ya kutafuta

APK

13.4 MB • Free Pakua

Google Go: Ni njia rahisi na ya haraka ya kutafuta ikoni ya kati
3.32.381795618.release 2021.07.02

Google Go: Ni njia rahisi na ya haraka ya kutafuta

APK

11.8 MB • Free Pakua

Google Go: Ni njia rahisi na ya haraka ya kutafuta ikoni ya kati
3.31.381066634.release 2021.07.01

Google Go: Ni njia rahisi na ya haraka ya kutafuta

APK

11.7 MB • Free Pakua

Google Go: Ni njia rahisi na ya haraka ya kutafuta ikoni ya kati
3.31.380187887.release 2021.06.23

Google Go: Ni njia rahisi na ya haraka ya kutafuta

APK

11.7 MB • Free Pakua

Google Go: Ni njia rahisi na ya haraka ya kutafuta ikoni ya kati
3.30.377846111.release.go 2021.06.08

Google Go: Ni njia rahisi na ya haraka ya kutafuta

APK

11.3 MB • Free Pakua

Google Go: Ni njia rahisi na ya haraka ya kutafuta ikoni ya kati
3.28.372848444.release 2021.05.11

Google Go: Ni njia rahisi na ya haraka ya kutafuta

APK

11.4 MB • Free Pakua

Google Go: Ni njia rahisi na ya haraka ya kutafuta ikoni ya kati
3.28.372848444.release.go 2021.05.11

Google Go: Ni njia rahisi na ya haraka ya kutafuta

APK

11.3 MB • Free Pakua

Programu zinazofanana