Google Kamera
-
2.3
: hakiki za hesabu -
8.1.101.345618084 Version
Zaidi Matoleo
Programu ya Kamera ya vifaa vya Google
Nasa matukio yote ukitumia Google Kamera na urekodi video na kupiga picha maridadi ukitumia vipengele kama vile Mkao Wima, Shabaha ya usiku na hali za kuimarisha video.
Vipengele
• HDR+ na udhibiti pacha wa mwanga - Piga picha ukitumia HDR+ ili unase picha maridadi, hasa katika mandhari yenye mwangaza hafifu au mandhari yaliyowashwa.
• Shabaha ya Usiku - Kamwe hutahitaji kutumia tochi yako tena. Shabaha ya usiku huonyesha rangi na vipengee vyote bora visivyoonekana kwenye giza. Unaweza hata kupiga picha za Kundi la Kilimia!
• Kuza na Upige Picha Safi - Kipengele cha Kuza na Upige Picha Safi hudumisha ubora wa picha unapovuta karibu—bila kutia ukungu.
• Picha Safi - Teua picha bora zaidi ukitumia kipengele cha Picha Safi. Hupendekeza picha bora kiotomatiki, ambapo hakuna mtu anayekonyeza macho na kila kitu kinaonekana sawa.
• Mkao Wima - Tia ukungu maridadi (bokeh) kwenye mandhari nyuma ya picha. Picha kwenye Google pia inaweza kuifanya mada ya picha yako iwe ya mvuto kwa kuiacha ikiwa na rangi, unapobadilisha mandharinyuma kuwa meusi na meupe.
• Picha Pana - Rekodi video za kawaida na za haraka kwa kubonyeza tu kitufe cha kilango cha kamera kwa muda mrefu katika hali chaguomsingi ya kamera.
Mahitaji - Toleo jipya zaidi la Google Kamera hutumika tu kwenye simu za Pixel zinazotumia Android 11 na matoleo mapya zaidi. Baadhi ya vipengele havipatikani kwenye vifaa vyote.