:name ikoni

Gallery Go kutoka Picha kwenye Google

Google LLC

Matunzio ya video na picha ambayo ni mahiri, nyepesi na ya haraka

Gallery Go kutoka Picha kwenye Google picha ya skrini 0 Gallery Go kutoka Picha kwenye Google picha ya skrini 1 Gallery Go kutoka Picha kwenye Google picha ya skrini 2 Gallery Go kutoka Picha kwenye Google picha ya skrini 3 Gallery Go kutoka Picha kwenye Google picha ya skrini 4
Maelezo

Tunatambulisha Gallery Go, gallery mahiri, nyepesi na yenye kasi ya picha na video iliyoundwa na Google ili kukusaidia:

✨ Kutafuta picha kwa haraka kwa kuzipanga kiotomatiki
😎 Kuboresha picha zako kwa kutumia zana za kubadilisha picha kama vile uboreshaji wa kiotomatiki
🏝️ Kutumia data kidogo - hufanya kazi nje ya mtandao, yote katika programu ndogo isiyotumia nafasi kubwa

KUPANGA KIOTOMATIKI

Kila usiku, Gallery Go itapanga kiotomatiki picha zako katika kikundi kulingana na: Watu, Selfie, Asili, Wanyama, Hati, Video na Filamu.
Gallery Go hukusaidia kupanga maudhui yako, ili utumie muda mchache kutafuta picha ya rafiki au mwanafamilia na muda mwingi zaidi kushiriki nao matukio.*

UBORESHAJI WA KIOTOMATIKI

Gallery Go ina zana za kubadilisha picha zilizo rahisi kutumia, kama vile uboreshaji wa kiotomatiki itakayofanya picha zipendeze zaidi kwa kubofya mara moja.

UWEZO WA KUTUMIA FOLDA NA KADI ZA SD

Tumia folda kupanga picha katika njia yoyote ile unayopenda. Yote haya bado ukiwa na uwezo wa kutazama, kunakili na kuhamishia kwenye na kutoka Kadi za SD kwa urahisi.

UTEKELEZAJI

Gallery Go inakuja katika faili ndogo inayomaanisha picha zako zitakuwa na nafasi kubwa zaidi ya hifadhi. Haya yote huku ikitumia hifadhi ndogo kwenye kifaa chako - ili isipunguze kasi ya simu yako.

HUFANYA KAZI NJE YA MTANDAO

Gallery Go imeimarishwa ili ifanye kazi nje ya mtandao, inaweza kudhibiti na kuhifadhi picha na video zako zote bila kutumia data yako yote.
*kipengele cha kupanga picha katika makundi kulingana na nyuso za waliomo hakipatikani katika nchi zote kwa sasa

Habari
  • Jina la kifurushi com.google.android.apps.photosgo
  • Jamii Upigaji picha
  • Toleo jipya 1.7.8.373694029 release
  • License Free
  • Date 2021-07-27
  • Inapatikana kwenye google play
  • Msanidi programu Google LLC
  • Requirements Android 8.0+

Matoleo ya awali
Tazama zaidi
Gallery Go kutoka Picha kwenye Google ikoni ya kati
1.7.8.373694029 release 2021.05.19
3 anuwai

Gallery Go kutoka Picha kwenye Google

APK

10.8 MB • Free Pakua

Gallery Go kutoka Picha kwenye Google ikoni ya kati
1.7.6.368358771 release 2021.04.22
5 anuwai

Gallery Go kutoka Picha kwenye Google

APK

10.8 MB • Free Pakua

Gallery Go kutoka Picha kwenye Google ikoni ya kati
1.7.4.366145919 release 2021.04.08
3 anuwai

Gallery Go kutoka Picha kwenye Google

APK

10.8 MB • Free Pakua

Gallery Go kutoka Picha kwenye Google ikoni ya kati
1.7.4.365490053 release 2021.04.07
4 anuwai

Gallery Go kutoka Picha kwenye Google

APK

10.8 MB • Free Pakua

Gallery Go kutoka Picha kwenye Google ikoni ya kati
1.7.4.364219017 release 2021.03.28
4 anuwai

Gallery Go kutoka Picha kwenye Google

APK

10.8 MB • Free Pakua

Gallery Go kutoka Picha kwenye Google ikoni ya kati
1.7.2.360080606 release 2021.03.03
4 anuwai

Gallery Go kutoka Picha kwenye Google

APK

10.4 MB • Free Pakua

Gallery Go kutoka Picha kwenye Google ikoni ya kati
1.7.0.352695432 release 2021.01.27
5 anuwai

Gallery Go kutoka Picha kwenye Google

APK

10.2 MB • Free Pakua

Gallery Go kutoka Picha kwenye Google ikoni ya kati
1.6.0.344748829 release 2020.12.09
4 anuwai

Gallery Go kutoka Picha kwenye Google

APK

10.2 MB • Free Pakua

Programu zinazofanana