Blogger
-
3.7
: hakiki za hesabu -
3.1.4 Version
Zaidi Matoleo
Kublogu popote ulipo
Pakua toelo jipya zaidi la programu rasmi ya Blogger na uanze kublogu popote ulipo. Ukiwa na Blogger ya Android unaweza:
* Kutunga chapisho ambalo unaweza kuhifadhi kwenye rasimu au kuchapisha mara moja
* Kubadilisha machapisho yaliyopo
* Kuona orodha ya machapisho yako yaliyohifadhiwa na yaliyochapishwa
* Kubadili akaunti/blogu iwapo una zaidi ya moja
* Kupachika picha kutoka kwenye matunzio au kwa kupiga picha moja kwa moja kwenye programu
* Kuongeza lebo kwenye machapisho yako
Ukiwa na programu ya Blogger ya Android, unaweza kuchapisha machapisho kwa haraka na urahisi kwenye blogu yako popote ulipo.