:name ikoni

Facebook Lite

Facebook

Facebook Sawa, inatumia nafasi na data kidogo

Facebook Lite picha ya skrini 0 Facebook Lite picha ya skrini 1 Facebook Lite picha ya skrini 2 Facebook Lite picha ya skrini 3 Facebook Lite picha ya skrini 4
Maelezo

Ni rahisi na haraka zaidi kuendelea kuwasiliana na marafiki ukitumia programu ya Facebook Lite! Tumia programu ya Facebook Lite kama programu ya kuwasiliana na marafiki kujiunga na kuendelea kuwasiliana na watu unaowasiliana nao mitandaoni. Programu ya Facebook Lite ni ndogo, inakuruhusu kuhifadhi nafasi kwenye simu yako na kutumia Facebook katika hali ya mtandao ya 2G.

Vipengele vingi vya kawaida vya Facebook vinapatikana kwenye programu, kama vile kushiriki kwenye Ukurasa, kupenda picha, kutafuta watu na kuhariri wasifu na makundi yako. Vipengele maalum ni pamoja na:

* Tafuta marafiki na familia
* Weka machapisho ya hali na utumie emoji ya Facebook kukusaidia kuwasilisha kile kinachoendelea katika ulimwengu wako
* Shiriki picha na picha za utani unazopenda zaidi
* Pata arifa marafiki wanapopenda na kutoa maoni kwenye machapisho yako
* Tafuta matukio ambapo watu wanajumuika pamoja mtaani, Jibu Mwaliko na ufanye mpango wa kukutana nao
* Ingiliana na marafiki zako kwa kuongeza maoni na hisia zako binafsi kwenye machapisho yao kwenye Facebook
* Hifadhi picha kwa kuziweka kwenye albamu za picha
* Fuata watu ili upate habari za hivi punde kuwahusu
* Angalia biashara mitaani ili uone ukaguzi, saa za kazi na picha zao.
* Nunua na uuze mtaani kwenye Facebook Marketplace

Programu ya Facebook inafanya mambo zaidi yanayokufanya uendelee kuungana na marafiki na mapendeleo yako. Pia ni mratibu wako wa kibinafsi kwa kuweka, kuhifadhi na kushiriki picha. Ni rahisi kushiriki picha moja kwa moja kutoka kwenye kamera yako ya Android, na una udhibiti kamili juu ya picha na mipangilio yako ya faragha. Unaweza kuchagua kuhifadhi picha za kibinafsi kwa faragha au hata kusanidi albamu ya siri ya picha ili kudhibiti anayeitazama.

Programu ya Facebook Lite pia inakusaidia kupata habari za hivi punde na matukio yanayoendelea kote ulimwenguni kwa sasa. Jisajili ili ufuate Arifa za Habari za watu maarufu, bidhaa, tovuti, wasanii au timu za michezo unazopenda zaidi kwa urahisi ukitumia programu yako ya Facebook Lite!

Je, unapata matatizo katika kupakua au kusakinisha programu hii? Angalia https://www.facebook.com/help/fblite
Je, bado unahtaji usaidizi? Tafadhali tujulishe zaidi kuhusu tatizo hilo: https://www.facebook.com/help/contact/640732869364975
Facebook inapatikana tu kwa watu wenye umri wa miaka 13 na zaidi.
Masharti ya Huduma: http://m.facebook.com/terms.php

Habari
  • Jina la kifurushi com.facebook.lite
  • Jamii Mitandao jamii
  • Toleo jipya 261.0.0.11.119
  • License Free
  • Date 2021-07-27
  • Inapatikana kwenye google play
  • Msanidi programu Facebook
  • Requirements Android 4.0+

Matoleo ya awali
Tazama zaidi
Facebook Lite ikoni ya kati
261.0.0.11.119 2021.07.27
3 anuwai

Facebook Lite

APK

1.7 MB • Free Pakua

Facebook Lite ikoni ya kati
260.0.0.7.119 2021.07.20
4 anuwai

Facebook Lite

APK

1.6 MB • Free Pakua

Facebook Lite ikoni ya kati
259.0.0.8.120 2021.07.13

Facebook Lite

APK

1.6 MB • Free Pakua

Facebook Lite ikoni ya kati
258.0.0.8.119 2021.07.05
4 anuwai

Facebook Lite

APK

1.7 MB • Free Pakua

Facebook Lite ikoni ya kati
257.0.0.13.171 2021.06.29
4 anuwai

Facebook Lite

APK

1.7 MB • Free Pakua

Facebook Lite ikoni ya kati
257.0.0.10.171 2021.06.26

Facebook Lite

APK

1.6 MB • Free Pakua

Facebook Lite ikoni ya kati
256.0.0.16.119 2021.06.25

Facebook Lite

APK

1.6 MB • Free Pakua

Facebook Lite ikoni ya kati
255.0.0.8.119 2021.06.16

Facebook Lite

APK

1.6 MB • Free Pakua

Programu zinazofanana