:name ikoni

YouTube

Google LLC

Tazama video, vituo na orodha za kucheza unazopenda popote ulipo.

YouTube picha ya skrini 0 YouTube picha ya skrini 1 YouTube picha ya skrini 2 YouTube picha ya skrini 3 YouTube picha ya skrini 4
Maelezo

Pakua programu rasmi ya YouTube kwenye kompyuta kibao na simu za Android. Angalia maudhui ambayo ulimwengu unatazama --- kuanzia video maarufu za muziki hadi maudhui maarufu katika michezo ya video, mitindo, urembo, habari, mafunzo na mengineyo. Anza kufuatilia vituo unavyopenda, kubuni maudhui yako binafsi, kushiriki na marafiki na kutazama kwenye kifaa chochote.

Tazama na ufuatilie
● Pitia mapendekezo ya binafsi kwenye Ukurasa wa Kwanza
● Angalia maudhui mapya kwenye vituo unavyopenda katika sehemu ya 'Vituo Unavyofuatilia'
● Angalia video ulizotazama, kupenda na kuhifadhi ili utazame baadaye katika Maktaba

Gundua mada tofauti, maudhui maarufu na watayarishi chipukizi (inapatikana katika baadhi ya nchi)
● Pata taarifa kuhusu maudhui maarufu katika muziki, michezo ya video, urembo, habari,
mafunzo na mengineyo
● Angalia maudhui yanayovuma kwenye YouTube na kote duniani katika sehemu ya 'Gundua'
● Pata maelezo kuhusu Watayarishi, Wachezaji na Wasanii Chipukizi walio maarufu (inapatikana katika baadhi ya nchi)

Wasiliana na jumuiya ya YouTube
● Endelea kufuatilia watayarishi unaowapenda kupitia Machapisho, Hadithi, Maonyesho ya Kwanza na Mitiririko ya Moja kwa Moja
● Jiunge kwenye mazungumzo kupitia maoni na uwasiliane na watayarishi na wanachama wengine wa jumuiya

Buni maudhui kutoka kwenye kifaa chako cha mkononi
● Tunga au upakie video zako mwenyewe moja kwa moja katika programu
● Wasiliana na hadhira yako katika wakati halisi ukitumia mitiririko ya moja kwa moja kwenye programu

Pata hali ya matumizi inayokufaa wewe na familia yako (inapatikana katika baadhi ya nchi)
● Kila familia ina njia yake ya kuchangamkia video za mtandaoni. Pata maelezo kuhusu chaguo zako: programu ya YouTube Kids au hali mpya ya utumiaji inayosimamiwa na wazazi kwenye YouTube katika youtube.com/myfamily

Wasaidie watayarishi unaowapenda kupitia uanachama katika kituo (inapatikana katika baadhi ya nchi)
● Jiunge na vituo vyenye uanachama unaolipiwa kila mwezi ili uendeleze juhudi za watayarishi
● Pata uwezo wa kufikia manufaa maalum kwenye kituo na uwe mmoja wa wanachama wa jumuiya yake
● Tambulika katika maoni na magumzo ya moja kwa moja kupitia beji ya uaminifu inayowekwa kando ya jina lako la mtumiaji

Jisajili kwenye YouTube Premium (inapatikana katika baadhi ya nchi)
● Tazama video bila kukatizwa na matangazo, unapotumia programu nyingine au wakati
skrini ya kifaa imefungwa
● Hifadhi video ili uzitazame utakapohitaji – kama vile ukiwa safarini au kwenye ndege
● Fikia YouTube Music Premium kama sehemu ya manufaa yako

Habari
  • Jina la kifurushi com.google.android.youtube
  • Jamii Vihariri na Vicheza Video
  • Toleo jipya 16.28.37
  • License Free
  • Date 2021-06-23
  • Inapatikana kwenye google play
  • Msanidi programu Google LLC
  • Requirements Android 5.0+

Matoleo ya awali
Tazama zaidi
YouTube ikoni ya kati
16.28.37 2021.07.24

YouTube

APK

99.2 MB • Free Pakua

YouTube ikoni ya kati
16.28.36 2021.07.23

YouTube

APK

99.2 MB • Free Pakua

YouTube ikoni ya kati
16.27.34 2021.07.11

YouTube

APK

99 MB • Free Pakua

YouTube ikoni ya kati
16.25.38 2021.07.05

YouTube

APK

98.4 MB • Free Pakua

YouTube ikoni ya kati
16.24.33 2021.06.19

YouTube

APK

97.2 MB • Free Pakua

YouTube ikoni ya kati
16.23.36 2021.06.21

YouTube

APK

96.8 MB • Free Pakua

YouTube ikoni ya kati
16.23.34 2021.06.18

YouTube

APK

96.9 MB • Free Pakua

YouTube ikoni ya kati
16.20.36 2021.06.05

YouTube

APK

96.3 MB • Free Pakua

Programu zinazofanana