:name ikoni

Video kwa MP3 Converter, Video Compressor

VideoShow EnjoyMobi Video Editor & Video Maker Inc

Badilisha video ziwe kwenye muundo wa MP4, ya Video Converter & Compressor!

Video kwa MP3 Converter, Video Compressor picha ya skrini 0 Video kwa MP3 Converter, Video Compressor picha ya skrini 1 Video kwa MP3 Converter, Video Compressor picha ya skrini 2 Video kwa MP3 Converter, Video Compressor picha ya skrini 3 Video kwa MP3 Converter, Video Compressor picha ya skrini 4 Video kwa MP3 Converter, Video Compressor picha ya skrini 5 Video kwa MP3 Converter, Video Compressor picha ya skrini 6 Video kwa MP3 Converter, Video Compressor picha ya skrini 7
Maelezo

VidCompact ni kifaa cha hali ya juu, na kinabadili, kubana na kupunguza video bila gharama yoyote ile. Watumiaji wengi wameipa VidCompact alama za juu. VidCompact ni mpya, lakini inakua kwa haraka, huku ikiendelea kutumika katika majukumu kadhaa wa kadhaa kadri wakati unavyosonga.

★ Vipengele vikuu vya VidCompact-kubadilisha, kubana, kukata na kupunguza muonekano wa video :

Kubadilisha video ziwe kwenye muundo wa MP4 kwa njia rahisi
Kubana video za ukubwa wowote
Kata na upunguze video zilizo kwenye kifaa chako cha teknolojia
Cheza vipande vya picha vya video
Zipe video majina mbadala
Futa video
Kutuma vipande vya picha vya video

★ Kuhusu kubadili video :

Badilisha video ziwe kwenye muundo ya MP4 ulio na tajriba kubwa
Inakuwezesha kubadilisha video ziwe kwenye miundo mingine kama HD, AVI, FLV, RMVB, 3GP, MPEG, WMV, MOV and mingineyo.
Rahisi kutumia, na haraka kuchagua muda na uthabiti wa video

★ Peo nyingine mwafaka kuhusu VidCompact-Video File Converter, Compresser & Trimmer
Interface ni rahisi, safi na fupi kama tu app zingine zilizobuniwa na VideoShow.
Hakuna ada yoyote ya ziada katika matumizi ya VidCompact
Inapatikana kwa zaidi ya lugha thelathini (30).
Kiguzo muhimu na inatumika katika zaidi ya vifaa mia mbili aina ya Android, Blackberry, Lumia, Samsung Galaxy, Sony, Huawei

★Kwa nini VidCompact inazingatiwa kuwa mwafaka maalumu wa kubadilisha, kukata na kupunguza video
Mwendo wa kasi katika kubadili video na kuzibana,
Kubadili, kukata na kupunguza video bila kuathiri viwango vya hali ya juu vya video
Kubana video hadi zinakuwa ndogo, na hivo inakuwezesha kupata nafasi kubwa katika kadi ya kumbukumbu kwenye kifaa chako.

Ikiwa una swali au maoni yoyote kuhusu VidCompact-Video Converter na Video Compressor, tafadhali wasiliana nasi kupitia: [email protected]

Habari

Matoleo ya awali
Tazama zaidi
Video kwa MP3 Converter, Video Compressor ikoni ya kati
3.5.8 2021.05.19

Video kwa MP3 Converter, Video Compressor

APK

24.9 MB • Free Pakua

Video kwa MP3 Converter, Video Compressor ikoni ya kati
3.5.7 2021.03.30
2 anuwai

Video kwa MP3 Converter, Video Compressor

APK

24.9 MB • Free Pakua

Video kwa MP3 Converter, Video Compressor ikoni ya kati
3.5.1 2021.02.01

Video kwa MP3 Converter, Video Compressor

APK

23.8 MB • Free Pakua

Video kwa MP3 Converter, Video Compressor ikoni ya kati
3.5.0 2021.03.05
2 anuwai

Video kwa MP3 Converter, Video Compressor

APK

19.4 MB • Free Pakua

Video kwa MP3 Converter, Video Compressor ikoni ya kati
3.4.9 2020.12.13
2 anuwai

Video kwa MP3 Converter, Video Compressor

APK

18.1 MB • Free Pakua

Video kwa MP3 Converter, Video Compressor ikoni ya kati
3.2.4 2021.04.09
2 anuwai

Video kwa MP3 Converter, Video Compressor

APK

11.9 MB • Free Pakua

Programu zinazofanana