:name ikoni

Uber

Uber Technologies, Inc.

Tumia Uber kupata safari za haraka, kuaminika na za bei nafuu kila wakati.

Uber picha ya skrini 0 Uber picha ya skrini 1 Uber picha ya skrini 2 Uber picha ya skrini 3 Uber picha ya skrini 4 Uber picha ya skrini 5 Uber picha ya skrini 6
Maelezo

Uber ni programu ya simu inayokupatia safari za haraka na za kuaminika—mchana au usiku. Hakuna haja ya kuegesha gari, kusubiri teksi au basi. Ukiwa na Uber, unausa simu yako tu na unaita gari, aidha ni rahisi kulipa kwa kutumia vocha au keshi kwa baadhi ya miji.

Iwe unaenda uwanja wa ndege au mjini, usafiri wa Uber unapatikana kila mahali. Uber inapatikana katika zaidi ya miji 500 kote ulimwenguni—weka programu ya Uber na uanze kufurahia huduma zetu leo.

Kuita usafiri wa Uber ni mboga kabisa—hivi ndivyo inavyofanya kazi:
- Fungua programu na utuambie unakoelekea
- Programu hii hutumia kipengele cha mahali ulipo ili dereva ajue mahali atakapokuchukua.
- Utaona picha ya dereva wako, maelezo ya gari na utaweza kufuatilia safari yake ya kuja kukuchukua kwenye ramani.
- Malipo yanaweza kufanywa kwa kutumia kadi ya vocha, keshi katika baadhi ya miji unaweza kutumia Android Pay, PayPal na mbinu nyingine.
Baada ya safari, mkadirie dereva wako na utoe maoni ili utusaidie kuboresha huduma za Uber. Pia risiti ya safari yako kwa njia ya barua pepe.

Unahitaji njia rahisi ya kusafiri kwa haraka? Chukua uberX, chaguo la bei nafuu kwa mtu binafsi

Ungependa kuokoa pesa kwenye safari yako? Chagua uberPOOL—utasafiri na wasafiri wengine wanaoelekea unakoenda na ufurahie nauli nafuu.

Ungependa kusafiri kwa starehe zaidi? Chagua UberBLACK kwa safari za starehe. Na bado kuna mambo mengi ya kuchagua—iwe unasafiri na watu wengine, au unahitaji gari lililoundwa mahsusi kusaidia walemavu.

Angalia iwapo Uber inapatikana katika mji wako katika https://www.uber.com/cities
Tufuatilie kwenye Twitter katika https://twitter.com/uber
Tufuatilie kwenye Facebook katika https://www.facebook.com/uber

Je, una swali? Tembelea uber.com/help.

Habari

Matoleo ya awali
Tazama zaidi
Uber ikoni ya kati
4.378.10003 2021.07.26

Uber

APK

109.4 MB • Free Pakua

Uber ikoni ya kati
4.376.10005 2021.07.11

Uber

APK

107.8 MB • Free Pakua

Uber ikoni ya kati
4.375.10002 2021.07.02

Uber

APK

107.6 MB • Free Pakua

Uber ikoni ya kati
4.373.10004 2021.06.23

Uber

APK

107 MB • Free Pakua

Uber ikoni ya kati
4.372.10002 2021.06.11

Uber

APK

107.3 MB • Free Pakua

Uber ikoni ya kati
4.371.10007 2021.06.03

Uber

APK

107.8 MB • Free Pakua

Uber ikoni ya kati
4.369.10003 2021.05.21

Uber

APK

107.5 MB • Free Pakua

Uber ikoni ya kati
4.368.10003 2021.05.09

Uber

APK

107.1 MB • Free Pakua

Programu zinazofanana