:name ikoni

inDriver - usafiri rahisi

® SUOL INNOVATIONS LTD

Nenda popote ndani ya jiji na jipangie bei yako

inDriver - usafiri rahisi picha ya skrini 0 inDriver - usafiri rahisi picha ya skrini 1 inDriver - usafiri rahisi picha ya skrini 2 inDriver - usafiri rahisi picha ya skrini 3 inDriver - usafiri rahisi picha ya skrini 4 inDriver - usafiri rahisi picha ya skrini 5
Maelezo

Tumia taksi mbadala kwenye majiji zaidi ya 300 na katika nchi 31. Hii ni app muafaka kwa kuokoa fedha za gharama za safari za mjini.

Pakua app ya simu ambayo ni rahisi kutumia.
Ni rahisi kuita gari, unachopaswa kufanya ni kuingiza kituo "A" na "B" kwenye app, kisha nauli ambayo upo tayari kuitoa. Mmoja kati ya madereva wa taksi waliopo karibu watakupeleka popote ndani ya mji.

Weka nauli ya safari yako
Kwa kutumia inDriver kupata taksi ni bei rahisi sana. Unajipangia nauli wewe mwenyewe. Kusafiri na inDriver ni bei rahisi sana kuliko kukodi taksi za kawaida. Pata taksi kwa safari ya umbali mrefu na okoa zaidi ya 20% ya bei ambayo umezoea kuilipa.

Chagua dereva
Ukiwa na inDriver unaweza kumchagua dereva kutoka miongoni mwa wale waliokubali ombi lako, kulingana na muda wa kuwasili, bei na maelezo mengine ya ziada. Unaweza kumchagua dereva mwenye nyota nyingi, aliyekamilisha safari nyingi zaidi au mwenye gari zuri.

Safiri okoa fedha
Kwenye app unaweza kuona jina la dereva, aina ya gari, namba ya gari na idadi ya safari alizokamilisha. Wakati wa safari, unaweza kuwatumia familia au rafiki zako data za dereva na eneo ambapo gari lipo kwa wakati huo kwa kutumia kitufe cha "Shiriki safari". Eneo ulipo linaweza kutumwa kwa kutumia app za ujumbe wa maandishi, mitandao ya kijamii, barua pepe au SMS.

Tumia machaguo ya ziada ya safari
Unahitaji safari maalumu? Bainisha vigezo vya ziada, minibasi kwa ajili ya kampuni kubwa, vituo vya njiani, kusafirisha watoto kwenye siti ya mtoto. Pia unaweza kutoa maelezo mengine yoyote ya safari kwenye maoni:

Kipato cha ziada - fanya kazi kama dereva
Kwa wale ambao wanamiliki magari, inDriver kama huduma ya kusafirisha abiria hutoa fursa kubwa ya kupata pesa ya ziada. Uhuru wa kufanya kazi, hakuna wasimamizi, eneo la GPS hupunguza muda usiokuwa na biashara na hakuna ongezeko la gahrama. Hii ni kazi ya madereva, ambapo mmiliki wa gari anajichagulia ofa nzuri yeye mwenyewe!

Ikiwa unataka kuongeza mji wako, tuma maombi kwenda [email protected]

Kuendelea kutumia GPS katika hali ya chinichini kunaweza kuathiri nguvu ya betri yako.

Habari

Matoleo ya awali
Tazama zaidi
inDriver - usafiri rahisi ikoni ya kati
3.35.0 2021.06.08

inDriver - usafiri rahisi

APK

33.5 MB • Free Pakua

inDriver - usafiri rahisi ikoni ya kati
3.32.1 2021.05.06

inDriver - usafiri rahisi

APK

31.4 MB • Free Pakua

inDriver - usafiri rahisi ikoni ya kati
3.32.0 2021.04.25

inDriver - usafiri rahisi

APK

13.9 MB • Free Pakua

inDriver - usafiri rahisi ikoni ya kati
3.31.1 2021.04.21

inDriver - usafiri rahisi

APK

31.3 MB • Free Pakua

inDriver - usafiri rahisi ikoni ya kati
3.30.1 2021.04.02

inDriver - usafiri rahisi

APK

30.2 MB • Free Pakua

inDriver - usafiri rahisi ikoni ya kati
3.29.0 2021.03.17

inDriver - usafiri rahisi

APK

30.1 MB • Free Pakua

inDriver - usafiri rahisi ikoni ya kati
3.28.1 2021.03.03

inDriver - usafiri rahisi

APK

17.5 MB • Free Pakua

inDriver - usafiri rahisi ikoni ya kati
3.28.0 2021.02.26

inDriver - usafiri rahisi

APK

17.4 MB • Free Pakua

Programu zinazofanana