:name ikoni

StarTimes ON–Soka Mubashara,TV,Sinema,Tamthilia

Free TV & Live Football Game, StarTimes Inc.

Programu ya video inayotoa vipindi bora vya TV, Sinema, Tamthilia&Soka Mubashara

StarTimes ON–Soka Mubashara,TV,Sinema,Tamthilia picha ya skrini 0 StarTimes ON–Soka Mubashara,TV,Sinema,Tamthilia picha ya skrini 1 StarTimes ON–Soka Mubashara,TV,Sinema,Tamthilia picha ya skrini 2 StarTimes ON–Soka Mubashara,TV,Sinema,Tamthilia picha ya skrini 3 StarTimes ON–Soka Mubashara,TV,Sinema,Tamthilia picha ya skrini 4 StarTimes ON–Soka Mubashara,TV,Sinema,Tamthilia picha ya skrini 5 StarTimes ON–Soka Mubashara,TV,Sinema,Tamthilia picha ya skrini 6 StarTimes ON–Soka Mubashara,TV,Sinema,Tamthilia picha ya skrini 7
Maelezo

StarTimes ON ni huduma ya usambazaji video inayoongoza barani Afrika kwa ajili ya kutazama TV mubashara, burudani za TV, sinema, soka mubashara, vipindi vya TV kwenye simu yako . Zaidi ya watumiaji milioni 20 ulimwenguni wamepakua Programu hiyo, ambayo inatoa uzoefu bora wa kutazama video mahali popote, wakati wowote. Pata Programu ya bure na unaweza mara moja kutazama kwa mfululizo maelfu ya TV za kimataifa, vitu maarufu vya Hollywood, vipindi vya TV vya ndani, habari zinazojiri hivi karibuni na mechi bora za soka za kutumainiwa. Pamoja na, mamilioni ya maudhui ya watoto, watoto wako wataipenda StarTimes ON pia.

📱TV MUBASHARA
StarTimes ON inakupa chaneli zaidi 150 kuanzia kwenye habari za hivi punde, vipindi mubashara vya TV, mechi za mpira wa miguu, progaramu za watoto, sinema na tamthilia mfululizo. Pata programu na kuzitazama ZOTE.

⚽ SOKA MUBASHARA
Mechi mubashara za soka zimekuwa moja ya ofa bora wa StarTimes ON, pamoja na Europa League, The Emirates FA Cup, La Liga, Copa del Rey, Kenya Premier League, European Cup and the Qualifiers, UEFA Nations League, FIFA World Cup European Qualifiers, Coppa Italia, Ghana Premier League na Uganda Premier League.

📺 TAMTHILIA
StarTimes imejitolea kukupa burudani bora. Kwa hivyo, tumekuwa tukikusanya sinema bora kutoka ulimwengu kote. Gangaa, Razia Sulant, Waaris, Wang’s Family, The Heiress, Los Bastardos, The General’s Daughter, Betrayal, To Die for Love, Gathbandhan, Asintado, Wildflower, Lost Hearts, The Blood Sisters, Madhubala, The Secrets of EI Paraiso, Princess agent, The Land of Warriors, Ashes of Love na zaidi. Zinapatikana kwenye StarTimes ON tu.

🍿SINEMA
Pata StarTimes ON na uangalie sinema 1000+ za hali ya juu BURE. Kutoka Nollywood hadi Hollywood, kutoka Kong Fu hadi sinema za ndani, StarTimes ON inaangazia aina zote tofauti za sinema kama za vitendo, sayansi asilia, vichekesho, za kusisimua, mapenzi na za kutisha. Pata programu na kuzitazama zote. Angalia sinema za Kung Fu za hali ya juu kutoka kwa Jacky Chen na vitu vya kipekee vya Bluce Lee kwenye StarTime On.

🌍BURUDANI ZA TV & HABARI
StarTimes ON pia inatengeneza vipindi maarufu halisi, ikiwa ni pamoja na Bongo Star Search S11 na Hello, Mr. Right. Ukiwa na program yetu, unaweza pia kuhabarishwa kwa habari za hivi karibuni kwenye chaneli za ndani na za kimataifa, ikiwa pamoja na TV ya TBC, KTN NEWS, KBC, NTV, Al JAZEERA, BBC WORLD NEWS, Habari Kenya, Habari Tanzania na Habari za Africa. Chaguo bora kati yako na ulimwengu mzima ni program! Kwahiyo, unasubiri nini? Pakua mara moja ili ufurahie habari motomoto na kila wakati uhabarika. Chaneli 150+ zinapatikana kwenye StarTimes ON.

👪 WATOTO
StarTimes ON ni program rafiki ya familia. Watoto wako pia wanaweza kufurahia katuni bora kutoka ulimwenguni kote, The Guardians of Carcosa, Fantasy Westward Journey, Jing-Ju Cats na Bonnie Bears. Tunachagua programu zenye ubora wa juu na za kuelimisha kwa watoto, ili watoto wako waweze kujifunza na kufurahia kwa wakati mmoja.

🤪VIDEO FUPI
Tunafurahi kuwatangazia kitengo chetu kipya kinachoitwa Video fupi. Ambapo unaweza kutazama video maarufu ambazo ziliingiwa na virusi kwenye mtandao. Paka wa kufurahisha & mbwa, watoto wakuvutia, hila za kijanja, uchawi, maporomoko ya kutisha, wanawake matata…

Vipengele vya ziada:
1.Miongozo 400+ ya TV. Unaweza kuseti kikumbushio kwa ajili ya mechi ya soka unayoipenda, burudani na sinema.
2. Huduma binafsi nyepesi ya kuunganisha na kadi yako, lipia na angalia bili kwa muda mchache. Muhimu zaidi, punguzo la 5% linapatikana pekee kwenye program.
3. Shirikisha program kwa rafiki zako, pata sarafu za kutosha na kisha badilishaneni zawadi.

Tufuatilie kwenye Facebook
https://www.facebook.com/StarTimesON
StarTimes ON ni kiongozi digitali cha kweli cha burudani barani Afrika
Pakua StarTimes ON SASA hivi!

Habari

Matoleo ya awali
Tazama zaidi
StarTimes ON–Soka Mubashara,TV,Sinema,Tamthilia ikoni ya kati
5.31 2021.04.15

StarTimes ON–Soka Mubashara,TV,Sinema,Tamthilia

APK

16 MB • Free Pakua

StarTimes ON–Soka Mubashara,TV,Sinema,Tamthilia ikoni ya kati
5.30 2021.02.06

StarTimes ON–Soka Mubashara,TV,Sinema,Tamthilia

APK

16 MB • Free Pakua

StarTimes ON–Soka Mubashara,TV,Sinema,Tamthilia ikoni ya kati
5.29.3.3 2021.02.26

StarTimes ON–Soka Mubashara,TV,Sinema,Tamthilia

APK

16.8 MB • Free Pakua

StarTimes ON–Soka Mubashara,TV,Sinema,Tamthilia ikoni ya kati
5.29.3.2 2021.04.13

StarTimes ON–Soka Mubashara,TV,Sinema,Tamthilia

APK

17.2 MB • Free Pakua

StarTimes ON–Soka Mubashara,TV,Sinema,Tamthilia ikoni ya kati
5.29 2020.12.16

StarTimes ON–Soka Mubashara,TV,Sinema,Tamthilia

APK

15.9 MB • Free Pakua

StarTimes ON–Soka Mubashara,TV,Sinema,Tamthilia ikoni ya kati
5.28 2020.10.30

StarTimes ON–Soka Mubashara,TV,Sinema,Tamthilia

APK

15.9 MB • Free Pakua

StarTimes ON–Soka Mubashara,TV,Sinema,Tamthilia ikoni ya kati
5.27.1 2020.09.25

StarTimes ON–Soka Mubashara,TV,Sinema,Tamthilia

APK

15.8 MB • Free Pakua

StarTimes ON–Soka Mubashara,TV,Sinema,Tamthilia ikoni ya kati
5.27 2020.11.14

StarTimes ON–Soka Mubashara,TV,Sinema,Tamthilia

APK

15.8 MB • Free Pakua

Programu zinazofanana