Netflix
-
2.5
: hakiki za hesabu -
8.2.1 Version
Zaidi Matoleo
Netflix ni huduma ya usajili inayoongoza ya kutazama tamthilia na muvi.
Netflix ni huduma ya usajili inayoongoza duniani ya kutazama tamthilia na muvi kwenye kifaa unachopenda.
Pata programu hii bure kama sehemu ya uanachama wako wa Netflix na unaweza kutazama maelfu ya tamthilia na muvi papo hapo kwenye kifaa chako cha TV ya Android.
Ikiwa hujajisajili kuwa mwanachama wa Netflix, jisajili uwe mwanachama na uanze kufurahia mara moja ofa ya mwezi mmoja bila malipo.
Netflix inafanyaje kazi?
• Uanachama wa Netflix hukupa uwezo wa kufikia tamthilia na muvi bila kikomo kwa kwa bei moja ndogo unayolipa kila mwezi.
• Kwa kutumia programu ya Netflix unaweza kutazama papo hapo tamthilia na muvi nyingi upendavyo, mara nyingi upendavyo, wakati wowote unaotaka kutazama.
• Unaweza Kupitia maelfu ya matoleo yanayoongezeka kila siku, na vipindi vipya vinavyoongezwa mara kwa mara.
• Tafuta tamthilia na muvi na uzitazame mara moja kwenye kifaa chako cha TV ya Android an kwenye kifaa chochote kati ya vifaa vinavyoongezeka vinavyoweza kutumiwa.
• Tathmini tamthilia na muvi unazopenda na utueleze unachopenda ili Netflix iweze kusaidia kukupendekezea tamthilia na muvi bora.
• Anza kutazama kwenye kifaa kimoja, na uendelee kutazama kwenye kifaa kingine. Angalia netflix.com ili uone TV, konsoli za michezo, tablet, simu, vichezaji vya Blu-ray na ving'amuzi vyote unavyoweza kutumia kutazama Netflix.
Kwa kuchagua SAKINISHA, unakubali programu ya Netflix isakinishwe, pamoja na masasisho yoyote inayohitaji.
─────────────────────────────────
Makubaliano ya License
Kwa kupakua programu hii unakubali Masharti ya Matumizi na Taarifa ya Faragha ya Netflix, yanayopatikana katika www.netflix.com
Ofa usiyolipia ya mwezi 1 ya uanachama wa Netflix inapatikana kwa wanachama wanaojisajili kwa mara ya kwanza na baadhi ya wanachama waliowahi kujisajili hapo awali na haiwezi kuunganishwa na ofa nyingine yoyote. Unahitaji uwezo wa kufikia Intaneti na njia ya malipo inayokubalika ili uweze kukomboa ofa. Netflix itaanza kutoza njia yako ya malipo ada ya uanachama wa Netflix mwishoni mwa mwezi wa ofa usipoghairi kabla ofa ya mwezi wa kwanza haijaisha. Uanachama wako wa Netflix hulipiwa mwezi hadi mwezi na unaweza kuughairi wakati wowote. Nenda kwenye "Akaunti Yako" kwenye tovuti ya Netflix ili upate maelekezo ya kughairi. Hutarudishiwa pesa au ada kwa vipindi vya usajili ambavyo havikukamilika. Unahitaji kifaa kinachotiririsha maudhui kutoka Netflix (kilichotengenezwa na kuuzwa kando) na muunganisho wa intaneti wenye kasi ya juu ili uweze kutazama papo hapo.
Kwa sheria na masharti kamili, tafadhali tembelea http://www.netflix.com/TermsOfUse.
Kwa taarifa ya faragha, tafadhali tembelea https://signup.netflix.com/PrivacyPolicy.