:name ikoni

Spotify: Sikiliza muziki mpya na podikasti

Spotify Ltd.

Gundua muziki mpya na upate wimbo, albamu, orodha au podikasti unayopenda

Spotify: Sikiliza muziki mpya na podikasti picha ya skrini 0 Spotify: Sikiliza muziki mpya na podikasti picha ya skrini 1 Spotify: Sikiliza muziki mpya na podikasti picha ya skrini 2 Spotify: Sikiliza muziki mpya na podikasti picha ya skrini 3 Spotify: Sikiliza muziki mpya na podikasti picha ya skrini 4 Spotify: Sikiliza muziki mpya na podikasti picha ya skrini 5 Spotify: Sikiliza muziki mpya na podikasti picha ya skrini 6 Spotify: Sikiliza muziki mpya na podikasti picha ya skrini 7 Spotify: Sikiliza muziki mpya na podikasti picha ya skrini 8 Spotify: Sikiliza muziki mpya na podikasti picha ya skrini 9
Maelezo

Ukiwa na Spotify, unaweza kucheza mamilioni ya nyimbo na podikasti bila malipo. Sikiliza nyimbo na podikasti unazopenda na ufurahie muziki kutoka duniani kote.

• Gundua muziki, albamu au podikasti
• Tafuta wimbo, msanii au podikasti unayopenda
• Furahia orodha za kucheza zilizotengenezwa kwa ajili yako
• Tengeneza na ushiriki orodha zako za kucheza
• Tafuta muziki wa shughuli au hali yoyote
• Sikiliza kwenye kifaa chako cha mkononi, tablet, kompyuta ya mezani, PlayStation, Chromecast, TV, na spika

Cheza muziki bila malipo kwenye tablet na kifaa chako cha mkononi ukiwa na Spotify. Sikiliza muziki, albamu, orodha za kucheza na podikasti popote ulipo.

Ukiwa na Spotify, una uwezo wa kufikia muziki bila malipo, orodha za kucheza zilizopangwa, wasanii na podikasti unazopenda. Gundua muziki, podikasti mpya na usikilize wasanii, albamu unazopenda au utengeneze orodha ya kucheza yenye nyimbo mpya zinazofaa hali yako.

Spotify pia inakupa muziki bila malipo, orodha za kucheza zilizopangwa na maelfu ya podikasti ambazo huwezi kupata mahali pengine popote. Pata muziki kutoka kwa wasanii unaowapenda na usikilize muziki mpya bila malipo.

• Umerahisishiwa kusikiliza muziki na podikasti bila malipo – Sikiliza orodha za kucheza au ucheze muziki wa msanii yoyote katika hali ya kuchanganya

Sikiliza muziki na podikasti kwenye tablet yako bila malipo
• Cheza muziki wa msanii yoyote, podikasti, albamu au orodha ya kucheza na ufurahia hali ya muziki ulio na mapendeleo yako

Vipengele vya Spotify Premium
• Sikiliza albamu, orodha ya kucheza au podikasti bila matangazo. Ukiwa na Spotify unaweza kucheza muziki wa msanii yoyote, wakati wowote kwenye kifaa chochote--cha mkononi, tablet, au kompyuta yako.
• Pakua na ucheze muziki ili usikilize nje ya mtandao.
• Furahia ubora murua wa sauti kwenye muziki na podikasti zinazokufaa.
• Gundua muziki mpya au orodha za kucheza zilizopangwa zinazofaa hali yako. Ukiwa na Spotify utapata hali ya usikilizaji muziki isiyo na kifani.
• Hamna mikataba - ghairi wakati wowote.

Ungependa kugundua muziki mpya?
Chagua orodha za kucheza zilizopangwa, albamu mpya au upate mapendekezo ya muziki yanayokufaa.

Unapenda Spotify?
Tupende kwenye Facebook: http://www.facebook.com/spotify
Tufuatilie kwenye Twitter: http://twitter.com/spotify

Tafadhali kumbuka: Programu hii ina programu ya Nielsen ya kupima hadhira ambayo pia itakuruhusu kuchangia katika utafiti wa masoko, kama vile Kipimo cha Sauti cha Nielsen. Ikiwa hutaki kushiriki unaweza kujiondoa kwenye mipangilio ya programu. Ili upate maelezo zaidi kuhusu bidhaa zetu dijitali za kupima hadhira na chaguo zako kuhusu bidhaa hizi, tafadhali tembelea http://www.nielsen.com/digitalprivacy kwa maelezo zaidi.

Habari
  • Jina la kifurushi com.spotify.music
  • Jamii Muziki na Sauti
  • Toleo jipya 8.6.46.886
  • License Free
  • Date 2021-06-23
  • Inapatikana kwenye google play
  • Msanidi programu Spotify Ltd.
  • Requirements Android 4.1+

Matoleo ya awali
Tazama zaidi
Spotify: Sikiliza muziki mpya na podikasti ikoni ya kati
8.6.46.886 2021.07.22

Spotify: Sikiliza muziki mpya na podikasti

APK

44.4 MB • Free Pakua

Spotify: Sikiliza muziki mpya na podikasti ikoni ya kati
8.6.44.851 2021.07.15
2 anuwai

Spotify: Sikiliza muziki mpya na podikasti

APK

44.2 MB • Free Pakua

Spotify: Sikiliza muziki mpya na podikasti ikoni ya kati
8.6.42.671 2021.07.09

Spotify: Sikiliza muziki mpya na podikasti

APK

44.1 MB • Free Pakua

Spotify: Sikiliza muziki mpya na podikasti ikoni ya kati
8.6.40.929 2021.07.01
2 anuwai

Spotify: Sikiliza muziki mpya na podikasti

APK

45.7 MB • Free Pakua

Spotify: Sikiliza muziki mpya na podikasti ikoni ya kati
8.6.36.1070 2021.06.19

Spotify: Sikiliza muziki mpya na podikasti

APK

43.6 MB • Free Pakua

Spotify: Sikiliza muziki mpya na podikasti ikoni ya kati
8.6.36.1068 2021.06.17

Spotify: Sikiliza muziki mpya na podikasti

APK

43.6 MB • Free Pakua

Spotify: Sikiliza muziki mpya na podikasti ikoni ya kati
8.6.34.749 2021.06.11
2 anuwai

Spotify: Sikiliza muziki mpya na podikasti

APK

43.4 MB • Free Pakua

Spotify: Sikiliza muziki mpya na podikasti ikoni ya kati
8.6.32.925 2021.06.04

Spotify: Sikiliza muziki mpya na podikasti

APK

43.5 MB • Free Pakua

Programu zinazofanana