:name ikoni

Taswira ya Mtaa ya Google

Google LLC

Piga picha zako za Taswira ya Mtaa au ugundue ulimwengu kwa njia pepe

Taswira ya Mtaa ya Google picha ya skrini 0 Taswira ya Mtaa ya Google picha ya skrini 1 Taswira ya Mtaa ya Google picha ya skrini 2 Taswira ya Mtaa ya Google picha ya skrini 3 Taswira ya Mtaa ya Google picha ya skrini 4 Taswira ya Mtaa ya Google picha ya skrini 5 Taswira ya Mtaa ya Google picha ya skrini 6 Taswira ya Mtaa ya Google picha ya skrini 7
Maelezo

Piga, angalia na ushiriki picha za Taswira ya Mtaa kupitia programu mpya ya Taswira ya Mtaa kutoka Google. Gundua maeneo kote ulimwenguni, au utumie simu yako kuweka picha mpya kwenye Taswira ya Mtaa, kwa kutumia chaguo hizi:
• Picha Duara (picha za panorama za digrii 360)
• Picha za Njia (mfululizo wa picha zilizounganishwa kutoka barabarani au njiani)
• Taswira ya Mtaa (picha zilizounganishwa za panorama zilizopigwa na kamera ya picha za digrii 360)

Sasa unaweza kuonyesha watu maeneo mapya kwa kurekodi ukitumia Taswira ya Mtaa na kuchapisha ili kila mtu aone!

Kupitia picha bora za Taswira ya Mtaa kutoka Google—na sasa kutoka kwa watumiaji kama wewe—ni rahisi kwenda safari pepe katika karibu kila nchi ulimwenguni. Talii sehemu maarufu duniani, gundua maajabu ya asili na uingie katika maeneo kama vile makavazi, viwanja vya michezo, mikahawa na biashara ndogo.

Ilani:
• Programu inahitaji toleo la Android 4.4 (KitKat) au jipya zaidi
• Picha za Njia zinahitaji kifaa kinachooana na ARCore (https://developers.google.com/ar/discover/supported-devices#google_play_devices)

Habari
  • Jina la kifurushi com.google.android.street
  • Jamii Usafiri + Yaliyo Karibu
  • Toleo jipya 2.0.0.378669437
  • License Free
  • Date 2021-07-27
  • Inapatikana kwenye google play
  • Msanidi programu Google LLC
  • Requirements Android 4.4+

Matoleo ya awali
Tazama zaidi
Taswira ya Mtaa ya Google ikoni ya kati
2.0.0.378669437 2021.06.21

Taswira ya Mtaa ya Google

APK

26.1 MB • Free Pakua

Taswira ya Mtaa ya Google ikoni ya kati
2.0.0.368298344 2021.04.17

Taswira ya Mtaa ya Google

APK

33.4 MB • Free Pakua

Taswira ya Mtaa ya Google ikoni ya kati
2.0.0.363386708 2021.04.02
2 anuwai

Taswira ya Mtaa ya Google

APK

78.1 MB • Free Pakua

Taswira ya Mtaa ya Google ikoni ya kati
2.0.0.357726400 2021.02.19
2 anuwai

Taswira ya Mtaa ya Google

APK

79.2 MB • Free Pakua

Taswira ya Mtaa ya Google ikoni ya kati
2.0.0.350158636 2021.03.07
2 anuwai

Taswira ya Mtaa ya Google

APK

78.2 MB • Free Pakua

Taswira ya Mtaa ya Google ikoni ya kati
2.0.0.341672132 2020.11.13

Taswira ya Mtaa ya Google

APK

33.3 MB • Free Pakua

Taswira ya Mtaa ya Google ikoni ya kati
2.0.0.328664139 2020.09.25

Taswira ya Mtaa ya Google

APK

37.3 MB • Free Pakua

Taswira ya Mtaa ya Google ikoni ya kati
2.0.0.327474152 2020.12.12

Taswira ya Mtaa ya Google

APK

37 MB • Free Pakua

Programu zinazofanana