Kiingereza kwa wanaoanza
-
4.8
: hakiki za hesabu -
4.0.4 Version
Zaidi Matoleo
🔥Kiingereza kwa wanaoanza. Sikiliza, ongea, soma, andika maneno na tungo. 💡
Jifunze maneno ya Kiingereza na tungo mbalimbali kwa kutumia application ya Kiingereza kwa wanaoanza.
Habari! Je, unatafuta mafunzo ya Kiingereza kwa ajili ya kujifunza kwa haraka na kupokea uelewa wa msingi wa kuongea Kiingereza? Basi hapa umefika!
Je unajua unaweza kuchagua mada yoyote kati ya mada 48 za kujifunzia maneno ya Kiingereza katika tungo?
- Salamu/Kuaga
- Nambari
- Viwakilishi
- Familia na marafiki
- Kalenda na muda
- Sikukuu
- Umri na hatua za maisha
- Watoto
- Vitu vya Watoto Kuchezea
- Sehemu za mwili
- Rangi
- Fahamu
- Kuelezea watu
- Hisia
- Nguo
- Viatu na vifaa
- Shughuli za kujifurahisha na vinavyopendeza
- Michezo
- Shule
- Elimu
- Taaluma
- Kompyuta
- Ulimwengu unaotuzunguka
- Nyumbani
- Vihusishi na vielezi
- Chumba cha kulala
- Bafuni
- Jikoni
- Kazi za nyumbani
- Mboga za majani
- Matunda na beri
- Vyakula na vinywaji
- Kupika
- Hali ya hewa
- Mji na nchi
- Kijiji
- Usafiri
- Duka na manunuzi
- Maisha ya kijamii
- Muda huru
- Vitabu na sanaa
- Muziki
- Sinema na ukumbi wa sinema
- Vyombo vya habari
- Kusafiri
- Asili na mazingira
- Historia na siasa
- Afya na ugonjwa
Je, upo tayari kutumia dakika 20 katika masomo ambayo yamegawanyika katika sehemu 5?
1. Msamiati. Jifunze maneno na tungo mpya, namna yanavyotamkwa na picha zinazoendana nayo.
2. Kuongea. Fanya mazoezi ya matamshi yako.
3. Kusikiliza. Linganisha picha na neon au tungo.
4. Kusoma. Chagua moja kati ya maneno au tungo chini ya picha.
5. Kuandika. Tunga neno kutokana na herufi zilizotolewa au weka maneno yanayokosekana ndani ya sentensi.
Je, uko tayari kutunga sentensi zako mwenyewe?
Unaweza kuongeza maneno au tungo mbali mbali ambayo yanakusumbua kukumbuka katika orodha yako ambayo ili kukusaidia katika siku za baadae. Ukiwa na daftari lako dogo binafsi, unaweza kugundua ni neno gani la kuanza kujifunza kwanza, bila kujali ni mada gani.
Je, unataka kubadilisha mpangilio wa rangi zako , kuchagua rangi ambayo unapendezwa nayo zaidi? Kuweza kufanya hivi, kuna mipangilio maalumu katika menyu hii.
Je umesahau kuwa unaweza kupanga ratiba yako binafsi ya darasani?. Bonyeza katika picha iliyo na saa na chagua siku na masaa. Utapokea sauti na ujumbe kukukumbusha.
Je, unataka kuweka kiwango cha ugumu wa mazoezi wewe mwenyewe?
- maneno tu
- tungo tu
- maneno na tungo za Kiingereza kwa pamoja
- idadi ya maneno na tungo kwa somo moja 6 - 12 - 24
- zimisha msaada unaoonekana (picha)
- zimisha sauti kusikika (matamshi)
- maneno yanayokaribiana kidogo
Programu ya kila somo imetengenezwa na walimu waliobobea na rekodi za sauti zimetengenezwa na watangazaji mahiri.
Ni muhimu kwako kama utajifunza maneno au tungo kwa Kiingereza mtandaoni au bila Intaneti?
Unaweza pia kuona takwimu:
- maendeleo yako katika kujifunza maneno na tungo za Kiingereza;
- maendeleo yako katika kutamka maneno na tungo;
- maendeleo yako katika kutaja herufi.
Unaweza pia kuwaambia marafiki zako kuhusu maendeleo yako:
- shirikisha kiungo katika Facebook
- shirikisha kiungo katika Twitter au mtandao mwingine wowote wa kijamii.
MSAADA NA MAONI
Kama una maswali yoyote, tafadhali tuandikie: [email protected].
Kwa matoleo maalum andika kwa
[email protected]
Tutafurahi kukujibu maswali yako yote.
Asante kwa kuchagua application yetu!