:name ikoni

Vampire's Fall: Origins RPG

Early Morning Studio

Mchezo wa kukufanya mhusika ⚔️ ni nzuri na ya wachezaji wa zamani! Anza sasa!

Vampire's Fall: Origins RPG picha ya skrini 0 Vampire's Fall: Origins RPG picha ya skrini 1 Vampire's Fall: Origins RPG picha ya skrini 2 Vampire's Fall: Origins RPG picha ya skrini 3 Vampire's Fall: Origins RPG picha ya skrini 4 Vampire's Fall: Origins RPG picha ya skrini 5 Vampire's Fall: Origins RPG picha ya skrini 6 Vampire's Fall: Origins RPG picha ya skrini 7 Vampire's Fall: Origins RPG picha ya skrini 8 Vampire's Fall: Origins RPG picha ya skrini 9
Maelezo

⚔️ Kwa hivyo unafikiri uko tayari kwa vita, Sajili? ⚔️

Ulitangatanga hapa, umelelewa na familia yenye nguvu, na unafikiria unayo vitu vya kutuokoa sisi sote. Sawa, miungu tuokoe! Tunayo bahati ya kuwa na nyama safi kama wewe upande wetu! Labda ni kweli utageuka kuwa bingwa mwenye nguvu ambaye atapita kuzimu ili kupata Mchawi, umpige vitani, na utuletee amani ulimwenguni kote.

Au - HA - labda utakuwa tu mtu mzuri sana! "

🗡️ Tembea kwa maringo kwenye njia yako ya ushindi katika moja ya michezo ya juu ya vitendo ambayo hukufanya mhusika!

🗡️ Je! Unayo yanayohitajika kupata ushindi katika vita na kuwa asiyeweza kufa?
Kuanguka kwa Wanyonya Damu ni mchezo mzuri ambao unakufanya mhusika pia unakuweka kwenye ulimwengu ulio wazi na inakuruhusu ujipatie jina. Je! Utaabudiwa au utaogopwa?

Tofauti na michezo mingine ya kukufanya mhusika, hakuna sehemu za kulipia au "kulipa ili ushinde." 90% ya wachezaji wetu wanafurahiya michezo yetu ya kukufanya mhusika bure. Jitayarishe kwa shani ya kucheza kama mhusika vile haujawahi kuona hapo awali! Ingia katika misitu yakupendeza, vijiji vilivyoachwa, migodi ya kuogofya na ujiandae kwa vita - kuna uhakikisho kuwa utasisimuka!

Furahiya urahisi wa mchezo huu bora wa kukufanya mhusika - una ubora wa aina yake. Mchezo wa Kuanguka kwa Wanyonya Damu umetengenezwa na wachezaji wa zamani wa Michezo ya kuwafanya Wahusika, kwa hivyo tunajua jinsi ya kukusisimua.

🗺️ Mchezo wa ulimwengu ulio wazi wa kukufanya mhusika
Ikiwa unapenda michezo ya ulimwengu ulio wazi, kuna ramani kubwa ya kushangaza unayoweza kucheza, vitu vizuri vilivyofichwa vinavyohitaji kufichuliwa, ujuzi unaohitaji kufunguliwa na mengi zaidi, madubwana ya kuuliwa wapo katika mchezo huu wa fantasia.

Ni wakati wa kupora marafiki au maadui.

🗡️ Mchezo wa kukufanya mhusika wenye matukio ya kusisimua
Unda mtindo wako wa kupigana. Kwenye mchezo wetu unaosisimua wa kukufanya mhusika, unaweza kubadilisha tabia yako kupitia miti mitatu yenye ujuzi tofauti na uwezo kumi na nne. Chagua ikiwa unapenda kupiga kwa ngao, kutupa vifungu vya umeme, au ufanyie sarakasi za uwanja wa vita wakati wa kufanya majaribio ya mchezo wetu wa ulimwengu ulio wazi unaokufanya mhusika.

Ongea na majenerali mashuhuri, wakulima, na wachawi wanaoogopwa. Chagua kati ya mazungumzo ya ujanja na ujiingize mwenyewe katika ulimwengu uliotengenezwa kwa uangalifu, katika mtindo wa zamani wa kukufanya mhusika.

🗡️ Bado unashangaa kwanini unapaswa kucheza mchezo wetu wa kusisimua unaokufanya mhusika?
🛡️ Vipakuzi +1,000,000 🛡️Ilipigiwa Kura kuwa Mchezo Bora kwa Android na reddit (r/androidgaming)
🛡️Hakuna "kulipa ili ushinde" 🛡️Haiba ya zamani ya kukufanya mhusika 🛡️Mchezo mzuri unaokufanya mhusika ulio na miti 3 yenye ujuzi na uwezo 53! 🛡️ Unaweza kuchagua kucheza mchezo bora zaidi wa kukufanya mhusika mtandaoni au nje ya mtandao
🛡️Upanuzi mpya "Uwindaji wa Sava" inapatikana sasa na 100% bure
🛡️ Imetengenezwa na wachezaji wa zamani wa Michezo ya kukufanya mhusika. Miaka mitatu ya bidii (lakini ya kufurahisha!) kutengeneza mchezo huu wa kusisimua unaokufanya mhusika🛡️

Kwa hivyo utapigana na nani? Utagundua nini? Na utakuwa shujaa wa aina gani?
📥 Sakinisha SASA na ucheze mchezo bora unaokufanya mhusika leo! 📥

Habari
  • Jina la kifurushi com.earlymorningstudio.vampiresfall2
  • Jamii Kuigiza
  • Toleo jipya 1.13.437
  • License Free
  • Date 2021-07-27
  • Inapatikana kwenye google play
  • Msanidi programu Early Morning Studio
  • Requirements Android 4.4+

Matoleo ya awali
Tazama zaidi
Vampire's Fall: Origins RPG ikoni ya kati
1.13.437 2021.06.15

Vampire's Fall: Origins RPG

APK

138.1 MB • Free Pakua

Vampire's Fall: Origins RPG ikoni ya kati
1.12.243 2021.04.20

Vampire's Fall: Origins RPG

APK

136.3 MB • Free Pakua

Vampire's Fall: Origins RPG ikoni ya kati
1.11.175 2021.04.02

Vampire's Fall: Origins RPG

APK

133.9 MB • Free Pakua

Vampire's Fall: Origins RPG ikoni ya kati
1.11.173 2021.03.29

Vampire's Fall: Origins RPG

APK

133.8 MB • Free Pakua

Vampire's Fall: Origins RPG ikoni ya kati
1.11.172 2021.03.23

Vampire's Fall: Origins RPG

APK

131.4 MB • Free Pakua

Vampire's Fall: Origins RPG ikoni ya kati
1.10.139 2021.03.12

Vampire's Fall: Origins RPG

APK

131.3 MB • Free Pakua

Vampire's Fall: Origins RPG ikoni ya kati
1.10.125 2021.02.20

Vampire's Fall: Origins RPG

APK

131.3 MB • Free Pakua

Vampire's Fall: Origins RPG ikoni ya kati
1.9.512 2021.01.11

Vampire's Fall: Origins RPG

APK

122 MB • Free Pakua

Programu zinazofanana