:name ikoni

Uber Eats: Usafirishaji wa Chakula

Uber Technologies, Inc.

Chakula kitamu. Tumerahisisha uchukuzi.

Uber Eats: Usafirishaji wa Chakula picha ya skrini 0 Uber Eats: Usafirishaji wa Chakula picha ya skrini 1 Uber Eats: Usafirishaji wa Chakula picha ya skrini 2 Uber Eats: Usafirishaji wa Chakula picha ya skrini 3 Uber Eats: Usafirishaji wa Chakula picha ya skrini 4 Uber Eats: Usafirishaji wa Chakula picha ya skrini 5
Maelezo

Unasikia njaa? Tumia Uber kuletewa chakula unachopenda kutoka kwa mikahawa unayoipenda.

Furahia chakula unachokipenda, mahali popote, wakati wowote. Tumia simu yako kupata chakula unachokipenda.

Tafuta mikahawa na maeneo yanayouza chakula yaliyo karibu nawe ufurahie siku yako. Pia unaweza kupata chakula unachotaka kwa kutafuta mikahawa, chakula, au mlo mahsusi. Piza. Nyama choma. Baga. Chipsi kuku. Kama kuna chakula unatamani tumia Uber Eats.

Ukiwa tayari kuagiza chakula, utaona eneo ambalo utaletewa chakula chako, pamoja na muda itakaochukua, na gharama utakayolipa pamoja na kodi na ada ya kuweka nafasi. Gusa kitufe ili utumie akaunti ya Uber, au uongeze kadi ya benki. Unaweza kufuatilia chakula kinapoletwa kwako.

Kwa sasa Uber Eats inapatikana katika miji na viunga vya miji ya Abu Dhabi, Adelaide, Amsterdam, Atlanta, Auckland, Austin, Baltimore, Bogota, Brisbane, Brussels, Cape Town, Chicago, Dallas, Denver, Dubai, Hong Kong, Johannesburg, Glasgow, Liverpool, London, Los Angeles, Madrid, Melbourne, Mexico City, Miami, Milan, Moscow, Mumbai, Nashville, New Delhi, New Orleans, New York, Ottawa, Paris, Philadelphia, Rio de Janeiro, San Diego, San Francisco, Sao Paulo, Seattle, Stockholm, Sydney, Taipei, Tokyo, Toronto, Vienna, Warsaw, na Washington DC.

Uber Eats inakusaidia kuletewa chakula unachokipenda ukiwa popote duniani. Agiza uletewe chakula ukiwa Australia, Ubelgiji, Brazil, Canada, Colombia, Ufaransa, Japan, India, Mexico, Nyuzilandi, Polandi, Urusi, Afrika Kusini, Uhispania, Taiwan, Milki za Kiarabu, Uingereza, Marekani, na miji mingine mingi.

Huduma hii haipatikani jijini mwako? Tunaileta hivi karibuni! Nenda kwenye https://about.ubereats.com/cities/ uone orodha ya miji ambayo huduma hii inapatikana.

Habari

Matoleo ya awali
Tazama zaidi
Uber Eats: Usafirishaji wa Chakula ikoni ya kati
6.66.10001 2021.07.11

Uber Eats: Usafirishaji wa Chakula

APK

84.2 MB • Free Pakua

Uber Eats: Usafirishaji wa Chakula ikoni ya kati
6.63.10004 2021.06.23

Uber Eats: Usafirishaji wa Chakula

APK

83.6 MB • Free Pakua

Uber Eats: Usafirishaji wa Chakula ikoni ya kati
6.61.10003 2021.06.08

Uber Eats: Usafirishaji wa Chakula

APK

83.2 MB • Free Pakua

Uber Eats: Usafirishaji wa Chakula ikoni ya kati
6.59.10000 2021.05.19

Uber Eats: Usafirishaji wa Chakula

APK

83 MB • Free Pakua

Uber Eats: Usafirishaji wa Chakula ikoni ya kati
6.58.10002 2021.05.12

Uber Eats: Usafirishaji wa Chakula

APK

82.9 MB • Free Pakua

Uber Eats: Usafirishaji wa Chakula ikoni ya kati
6.57.10002 2021.05.07

Uber Eats: Usafirishaji wa Chakula

APK

82.7 MB • Free Pakua

Uber Eats: Usafirishaji wa Chakula ikoni ya kati
6.56.10002 2021.04.27

Uber Eats: Usafirishaji wa Chakula

APK

43.7 MB • Free Pakua

Uber Eats: Usafirishaji wa Chakula ikoni ya kati
1.298.10003 2021.03.28

Uber Eats: Usafirishaji wa Chakula

APK

81.2 MB • Free Pakua