Launcher
-
4.5
: hakiki za hesabu -
2.3.8 Version
Zaidi Matoleo
Matumizi yako ya Android yatakuwa ya kipekee na binafsi kupitia Yandex Launcher
Yandex Launcher ni programu maizi inayokuwezesha kugeuza Android yako kufaa mtindo na mahitaji yako. Yandex Launcher huongezea uwezo wa sasa wa simu yako maizi na kukupa chaguo zaidi za ubinafsishaji.
Vipengele:
Mikusanyiko ya pazia
Yandex Launcher ina mkusanyiko wa pazia zilizoundiwa ndani yake zinazotosheleza mapendeleo yoyote. Pia hutumia pazia hai.
Kasi
Yandex Launcher hufanya kazi kwa haraka kwenye vifaa vyote haijalishi kifaa ni cha kizazi kipi. Haitapunguza kasi ya mfumo wako, na huisho huendeshwa kwa urahisi hata kama unatumia kifaa cha zamani.
Tafuta unachohitaji papo hapo
Dirisha maizi la utafutaji la Yandex Launcher hukuwezesha kutafuta kitu chochote kwenye simu yako maizi, katika Google Play, au kwenye intaneti.
Tafuta kwa rangi
Yandex Launcher hukuwezesha kutafuta programu zako kulingana na rangi zake. Ukisahau jina la programu, lakini ukumbuke ina ikoni ya bluu, unaweza kupanga tu programu zako kwa rangi hiyo.
Mapendekezo
Yandex Launcher hupendekeza programu muhimu na michezo mipya kulingana na mapendeleo yako.
Ubinafsishaji
Ukiwa na Yandex Launcher unaweza kugeuza mpangilio na idadi ya ikoni kwenye skrini yako ili kukufaa, unaweza kufanya uchaguzi kwenye huisho kadhaa za mpito wa skrini, kubadilisha mtindo wa ikoni, na kutumia vifurushi vya ikoni kutoka kwa wahusika wengine.
Folda maizi
Badilisha rangi ya usuli wa folda zako na uongeze wijeti zako. Folda zako zitakupendekezea programu maarufu zaidi za kategoria hiyo ili usikose kujua chochote ambacho ni kipya.
Shiriki maoni yako kwa kutuma barua pepe kwa [email protected]