:name ikoni

Slaidi za Google

Google LLC

Unda na ubadilishe mawasilisho ukiwa mahali popote.

Slaidi za Google picha ya skrini 0 Slaidi za Google picha ya skrini 1 Slaidi za Google picha ya skrini 2 Slaidi za Google picha ya skrini 3 Slaidi za Google picha ya skrini 4 Slaidi za Google picha ya skrini 5 Slaidi za Google picha ya skrini 6 Slaidi za Google picha ya skrini 7 Slaidi za Google picha ya skrini 8 Slaidi za Google picha ya skrini 9
Maelezo

Unda, badilisha na ushirikiane na wengine kwenye mawasilisho kutoka katika simu au kompyuta kibao yako ya Android ukitumia programu ya Slaidi za Google. Ukiwa na Slaidi za Google unaweza:

- Kuunda mawasilisho mapya au kubadilisha wasilisho lolote lililopo
- Kushiriki mawasilisho na kufanya kazi pamoja na wengine katika wasilisho moja kwa wakati sawa.
- Kufanya kazi zako kutoka popote, wakati wowote - hata bila muunganisho wa intaneti
- Kuongeza na kujibu maoni.
- Kuongeza na kupanga upya slaidi, kubadilisha muundo wa maandishi na maumbo, na mengineyo.
- Kuwasilisha moja kwa moja kutoka kwenye kifaa chako cha mkononi.
- Kukaa bila hofu ya kupoteza kazi yako - kila kitu kinahifadhiwa kiotomatiki kadri unavyocharaza.
- Kuunda mawasilisho maridadi papo hapo kwa kutumia kipengele cha Kichunguzi.
- Kuwasilisha sladi wakati wa simu za video - mikutano iliyoratibiwa itaonekana kiotomatiki
- Kufungua, kubadilisha na kuhifadhi faili za Microsoft PowerPoint.

Taarifa ya Ruhusa
Kalenda: Inatumiwa kujiunga na simu za video kutoka kwenye mialiko ya kalenda.
Kamera: Inatumiwa katika hali ya kamera wakati wa simu za video na kuweka picha zilizopigwa kwa kamera.
Anwani: Inatumiwa kutoa mapendekezo ya watu wa kuongeza kwenye faili na wa kushiriki nao.
Maikrofoni: Inatumiwa kupitisha sauti wakati wa simu za video.
Hifadhi: Inatumiwa kuingiza picha na kufungua faili kutoka kwenye USB au hifadhi ya SD.

Habari
  • Jina la kifurushi com.google.android.apps.docs.editors.slides
  • Jamii Za kuongeza tija
  • Toleo jipya 1.21.262.04.35
  • License Free
  • Date 2021-07-27
  • Inapatikana kwenye google play
  • Msanidi programu Google LLC
  • Requirements Android 7.0+

Matoleo ya awali
Tazama zaidi
Slaidi za Google ikoni ya kati
1.21.262.04.35 2021.07.20

Slaidi za Google

APK

53 MB • Free Pakua

Slaidi za Google ikoni ya kati
1.21.242.04.35 2021.06.24

Slaidi za Google

APK

53.6 MB • Free Pakua

Slaidi za Google ikoni ya kati
1.21.202.08.32 2021.06.16

Slaidi za Google

APK

52.9 MB • Free Pakua

Slaidi za Google ikoni ya kati
1.21.202.05.35 2021.06.14

Slaidi za Google

APK

57.1 MB • Free Pakua

Slaidi za Google ikoni ya kati
1.21.202.03.30 2021.05.27

Slaidi za Google

APK

55.9 MB • Free Pakua

Slaidi za Google ikoni ya kati
1.21.182.03.36 2021.05.13

Slaidi za Google

APK

60.5 MB • Free Pakua

Slaidi za Google ikoni ya kati
1.21.182.03.35 2021.05.13

Slaidi za Google

APK

41.6 MB • Free Pakua

Slaidi za Google ikoni ya kati
1.21.102.01.36 2021.03.29

Slaidi za Google

APK

54.6 MB • Free Pakua

Programu zinazofanana