:name ikoni

Google One

Google LLC

Uanachama unaolipiwa - nafasi zaidi, nakala ya data iliyo kwenye simu na zaidi.

Google One picha ya skrini 0 Google One picha ya skrini 1 Google One picha ya skrini 2 Google One picha ya skrini 3 Google One picha ya skrini 4 Google One picha ya skrini 5 Google One picha ya skrini 6 Google One picha ya skrini 7
Maelezo

Programu ya Google One hukuwezesha kuhifadhi nakala ya data iliyo kwenye simu yako kiotomatiki na kudhibiti hifadhi yako ya wingu kwenye Google.
• Hifadhi nakala ya vitu muhimu vilivyo kwenye simu yako kiotomatiki, kama vile picha, anwani na SMS kwa kutumia nafasi yako ya hifadhi ya GB 15 isiyolipishwa iliyo kwenye kila akaunti ya Google. Ukivunja, upoteze au ubadilishe simu yako, unaweza kurejesha kila kitu kwenye kifaa chako kipya cha Android.
• Dhibiti nafasi ya hifadhi iliyopo kwenye akaunti yako ya Google inayotumika kwenye Hifadhi ya Google, Gmail na huduma ya Picha kwenye Google.

Sasisha upate uanachama wa Google One ili upate manufaa zaidi:
• Pata nafasi kubwa ya hifadhi kadri utakavyo ya kuweka kumbukumbu, faili dijitali na miradi yako muhimu. Chagua mpango unaokufaa zaidi.
• Pata uwezo wa kipekee wa kuwasiliana na wataalamu wa Google ili wakupe usaidizi kuhusu bidhaa na huduma zote za Google. Iwapo una swali au unahitaji usaidizi, unaweza kuwasiliana na timu yetu ya wataalamu wa Google kwa urahisi.
• Shiriki nafasi yako ya hifadhi na hadi watu wengine watano. Hatua hii humpa kila mtu nafasi zaidi ya hifadhi kutokana na mpango wako, lakini haimpi idhini ya kufikia faili za mwingine.

Habari
  • Jina la kifurushi com.google.android.apps.subscriptions.red
  • Jamii Za kuongeza tija
  • Toleo jipya 1.107.385679186
  • License Free
  • Date 2021-07-27
  • Inapatikana kwenye google play
  • Msanidi programu Google LLC
  • Requirements Android 5.1+

Matoleo ya awali
Tazama zaidi
Google One ikoni ya kati
1.107.385679186 2021.07.26
2 anuwai

Google One

APK

14.8 MB • Free Pakua

Google One ikoni ya kati
1.104.380871835 2021.07.07
2 anuwai

Google One

APK

14.7 MB • Free Pakua

Google One ikoni ya kati
1.103.379433103 2021.06.28
2 anuwai

Google One

APK

14.7 MB • Free Pakua

Google One ikoni ya kati
1.102.378094899 2021.06.17

Google One

APK

13.6 MB • Free Pakua

Google One ikoni ya kati
1.100.375569978 2021.06.07

Google One

APK

13.4 MB • Free Pakua

Google One ikoni ya kati
1.98.372917556 2021.05.20

Google One

APK

13.3 MB • Free Pakua

Google One ikoni ya kati
1.96.371729603 2021.05.12

Google One

APK

13.2 MB • Free Pakua

Google One ikoni ya kati
1.94.370797024 2021.05.03

Google One

APK

13.2 MB • Free Pakua

Programu zinazofanana