:name ikoni

Google News

Google LLC

Programu mahiri ya habari, kutoka Google. Taarifa ibuka kitaifa na kimataifa.

Google News picha ya skrini 0 Google News picha ya skrini 1 Google News picha ya skrini 2 Google News picha ya skrini 3 Google News picha ya skrini 4 Google News picha ya skrini 5 Google News picha ya skrini 6 Google News picha ya skrini 7 Google News picha ya skrini 8 Google News picha ya skrini 9
Maelezo

Google News huandaa kile kinachotokea ulimwenguni ili kukusaidia upate maelezo zaidi kuhusu taarifa zinazokufaa.

Kwenye Google News, utaona:

Muhtasari wako – Unaweza kupata ugumu wa kufuatilia kila taarifa inayokuvutia. Ukitumia muhtasari wako, unaweza kujua kwa urahisi taarifa muhimu na zinazokufaa. Muhtasari wako husasishwa siku nzima kwa kukuletea taarifa tano kuu unazohitaji kufahamu, ikiwa ni pamoja na habari za eneo lako, za kitaifa na za kimataifa.

Habari kwa kina – Fahamu muktadha kamili kuhusu taarifa yoyote kwa kugusa tu. Google News hukupa kila kitu mtandaoni kinachohusu taarifa mahususi na kukupangia - huku ikiangazia mitazamo mbalimbali, ratiba kuhusu taarifa kuu, Maswali Yanayoulizwa Sana, watu muhimu na mengineyo.

Vyanzo vinavyoaminika – Pata maudhui bora kutokana na vikundi mbalimbali vya wachapishaji wanaoaminika na ugundue vyanzo ambavyo hujawahi kuvisikia.

Habari kwa ajili yako - Pata habari kuhusu kile kinachotokea kuhusu mada unazofuatilia kama vile michezo, siasa, biashara, teknolojia au hata hali ya hewa.

Jisajili kupitia Google – Tunaamini kuwa uandishi bora wa habari unastahili kulipiwa. Ndiyo maana, kwa kugusa mara moja, unaweza kujisajili kwa urahisi ili usome magazeti na majarida unayopenda.

Habari
  • Jina la kifurushi com.google.android.apps.magazines
  • Jamii Habari na Magazeti
  • Toleo jipya 5.35.0.386005642
  • License Free
  • Date 2021-07-27
  • Inapatikana kwenye google play
  • Msanidi programu Google LLC
  • Requirements Android 5.0+

Matoleo ya awali
Tazama zaidi
Google News ikoni ya kati
5.35.0.386005642 2021.07.24

Google News

APK

16.1 MB • Free Pakua

Google News ikoni ya kati
5.34.0.383682554 2021.07.14

Google News

APK

16.1 MB • Free Pakua

Google News ikoni ya kati
5.33.2.381348174 2021.07.01

Google News

APK

16.1 MB • Free Pakua

Google News ikoni ya kati
5.33.2.379998629 2021.06.23

Google News

APK

15.6 MB • Free Pakua

Google News ikoni ya kati
5.31.1.21042402 2021.05.18

Google News

APK

16.2 MB • Free Pakua

Google News ikoni ya kati
5.31.0.21042307 2021.05.11

Google News

APK

16.2 MB • Free Pakua

Google News ikoni ya kati
5.30.0.21040204 2021.04.15

Google News

APK

15.9 MB • Free Pakua

Google News ikoni ya kati
5.29.0.21022310 2021.03.14

Google News

APK

15.7 MB • Free Pakua

Programu zinazofanana