Ramani Zangu za Google
-
3.8
: hakiki za hesabu -
87 Version
Zaidi Matoleo
Unda na ubadilishe ramani maalum popote ulipo.
Unda na ubadilishe ramani maalum kwenye simu yako ya Android ukitumia programu ya Ramani Zangu za Google isiyolipishwa. Ukiwa na Ramani Zangu za Google unaweza:
- Kuunda ramani mpya au kubadilisha ramani zozote zilizoundwa kwenye wavuti au kwenye kifaa kingine
- Kutafuta maeneo na kuyahifadhi kwenye ramani yako
- Kuongeza mahali kwenye eneo ulipo sasa au eneo lingine lolote duniani
- Kupata maelekezo na kwenda katika mahali popote palipohifadhiwa kwenye ramani yako
____
Kumbuka:
• Ili upakue programu ya Ramani za Google, tafadhali tembelea: https://goo.gl/6cYU1w
• Ili urekebishe matatizo katika data ya Ramani za Google, tafadhali tumia Kiunda Ramani cha Google (http://goo.gl/VXaWnP) au uripoti tatizo (http://goo.gl/QAzXUH)