:name ikoni

Google Home

Google LLC

Weka na udhibiti vifaa vyako vya Nest, Chromecast na Google Home vinavyotumika.

Google Home picha ya skrini 0 Google Home picha ya skrini 1 Google Home picha ya skrini 2 Google Home picha ya skrini 3 Google Home picha ya skrini 4 Google Home picha ya skrini 5 Google Home picha ya skrini 6 Google Home picha ya skrini 7 Google Home picha ya skrini 8 Google Home picha ya skrini 9
Maelezo

Tumia programu ya Google Home kuweka mipangilio na kudhibiti vifaa vyako vya Google Home, Google Nest na Chromecast, pamoja na maelfu ya vifaa vya nyumbani vilivyounganishwa kama vile taa, kamera, vidhibiti vya halijoto na vinginevyo.

Mwonekano mmoja wa nyumbani kwako.
Kichupo cha Ukurasa wa Kwanza kinakupa njia za mkato za kutekeleza mambo unayofanya zaidi kama vile kucheza muziki au kupunguza mwangaza wa taa wakati unataka kutazama filamu. Dhibiti haya yote kwa kugusa mara moja tu ili utekeleze mambo unayotaka haraka zaidi. Kichupo cha Mipasho kinaangazia matukio muhimu zaidi nyumbani kwako katika sehemu moja. Ukiwa hapa, utaona pia njia za kupata manufaa zaidi kutokana na vifaa vyako na kuboresha mipangilio nyumbani kwako.

Weka taratibu zitakazokuwezesha kuwasha taa, kuangalia hali ya hewa, kuwasha habari na mengine mengi ukitumia amri moja rahisi.

Angalia mitiririko yote inayoendelea ya sauti na video kwenye vifaa vyako vyote vya nyumbani katika sehemu moja, badilisha kiwango cha sauti, nenda kwenye wimbo unaofuata au ubadilishe kwa haraka spika ambazo zinacheza.

Elewa mambo yanayotendeka nyumbani kwa haraka. Programu ya Google Home imebuniwa ili ikuonyeshe hali ya nyumbani kwako na kukuarifu mambo uliyokosa. Ingia nyumbani kwako wakati wowote na uone muhtasari wa matukio ya hivi majuzi. Unaweza pia kupata arifa iwapo tukio muhimu litatokea nyumbani ukiwa mbali.

Weka mipangilio ya Nest Wifi yako kwa haraka ukitumia programu ya Google Home. Dhibiti mtandao wako ukitumia kifaa cha mkononi. Fanya majaribio ya kasi, weka mipangilio ya mtandao wa wageni na ushiriki kwa urahisi nenosiri lako la Wi-Fi na marafiki na wanafamilia. Chagua vifaa vitakavyopewa kipaumbele kwa ajili ya kasi za haraka na utumie vidhibiti vya wazazi kama vile kusimamisha Wi-Fi ili udhibiti muda ambao watoto wanatumia mtandao.

* Huenda baadhi ya bidhaa na vipengele havipatikani katika maeneo yote. Unahitaji vifaa vinavyooana.

Habari
  • Jina la kifurushi com.google.android.apps.chromecast.app
  • Jamii Mtindo wa maisha
  • Toleo jipya 2.39.1.7
  • License Free
  • Date 2021-07-27
  • Inapatikana kwenye google play
  • Msanidi programu Google LLC
  • Requirements Android 6.0+

Matoleo ya awali
Tazama zaidi
Google Home ikoni ya kati
2.39.1.7 2021.06.22

Google Home

APK

63.4 MB • Free Pakua

Google Home ikoni ya kati
2.38.1.7 2021.05.29

Google Home

APK

63.1 MB • Free Pakua

Google Home ikoni ya kati
2.36.1.9 2021.04.13

Google Home

APK

63.1 MB • Free Pakua

Google Home ikoni ya kati
2.35.1.6 2021.03.30

Google Home

APK

62.2 MB • Free Pakua

Google Home ikoni ya kati
2.34.1.12 2021.03.31

Google Home

APK

62.3 MB • Free Pakua

Google Home ikoni ya kati
2.33.1.10 2021.02.13

Google Home

APK

61.1 MB • Free Pakua

Google Home ikoni ya kati
2.33.1.9 2021.02.20

Google Home

APK

61.1 MB • Free Pakua

Google Home ikoni ya kati
2.32.1.5 2021.02.02

Google Home

APK

61.4 MB • Free Pakua

Programu zinazofanana