Checkers
-
4.4
: hakiki za hesabu -
1.85.3 Version
Zaidi Matoleo
Checkers katika lugha ya Kiswahili – cheza kama utapenekeza!
Mchezaji Mpendwa!
Unakusumbuka mchezo wa utoto?
Checkers - mchezo wa jadi na kuelimisha, unalazimisha kufurahi akicheza na wapinzani mbalimbali wanaodai: na kompyuta au mtu mwingine katika hali ya mchezo nje ya mtandao. Kupumzika na familia au rafiki na cheza Checkers. Uonyeshe mchezo kwa watoto na mgundue pamoja burudani bora kutoka wakati ya shule.
Je! Wewe ni shabiki wa michezo ya ubao? Ungependa kuunda mbinu mpya au kuboresha mmoja ambao utakusaidia kushinda? „Checkers” unakufundisha fikira mantiki na kukusaidia kufanya mazoezi. Unaweza pia kubadilisha mipangilio yako, kuchagua sheria zako mwenyewe na kucheza njia unayotaka na unayopenda kwa mfano kwa kuacha kupiga nyuma au kulazimisha wewe kupigwa.
Hii sio mwisho - unaweza kupakua programu hii na kucheza kabisa kwa bure.
Checkers ni mchezo wa ubao wa zamani, lakini katika programu hii unaweza kugundua maumbile mapya yanaofanya mchezo huu wa kuvutia zaidi.
Ngazi tofauti za ugumu
Ujaribu kuanza kutoka ngazi rahisi na uone kama unaweza kupiga kompyuta. Unapopata uzoefu zaidi, uwezekano mkubwa zaidi wa kushinda Rosa mwenye ujuzi na mzee mwenye ujuzi wote - Juma. Lakini sasa, hujisikii mtumaini? Ucheza na Jabali na Lupita. Chukua changamoto na uendelee kupitia ngazi zote tano!
Sera tofauti
Hakuna sheria pekee za halali ili kucheza „Checkers.” Kila mtu ana tabia tofauti na anapenda kurudi kwenye sheria kulingana na ambayo alicheza wakati wa utoto. Ndiyo sababu ni bora yeye utachagua sheria zako mwenyewe unazopenda:
🌍 Checkers wa Kimataifa
Bila shaka utapenda sheria hizi zaidi kuliko zote:) Kupiga mhcezaji mwingine ni lazima na visanamu vyote vinaweza kupiga nyuma; memsahib annaweza kupiga na "mpiga mrefu" maana anaweza kuendelea idadi yoyote ya masanduku ya diagonal, kama mraba si umefungwa na kisanamu kingine.
🇬🇧 Checkers
Kumpiga mchezaji mwingine ni lazima, lakini visanamu haviwezi kupiga nyuma. Pia memsahib huenda tofauti kwenye ubao - hakuna "hatua ndefu", anaweza kusonga mraba mmoja tu, mbele au nyuma na pia anaweza kupiga nyuma.
🇪🇸 Checkers wa Kihispania
Sheria hizi hazifaniani sana kutoka mcheza wa kimataifa, hata hivyo inabidi wachezaji wanakumbuka kwamba mchezo unachezwa kwenye sehemu nyeupe za ubao tu, na visanamu haviwezi kupiga nyuma.
🇹🇷 Checkers wa Kituruki
Mchezo huu unachezwa katika sehemu zote za mwanga na giza katika ubao. Mwanzoni mwa mchezo, visanamu huwekwa kwenye safu ya pili na ya tatu kwenye ubao. Tofauti na sheria zingine, visanamu vinaenda mbele na nyuma tu. Harakati za memsahib ni kama na njia ambayo malkia huenda katika mchezo wa chesi.
Je, umeshachagua sheria zako? Ikiwa sio, ufanya sheria zako za mchezo. Ni rahisi sana, ingia kwenye Mipangilio (kona ya juu kisviya programu) na uchague chaguo bora zaidi kwako.
Bahati nzuri na furaha nzuri!
Bora zaidi, Łukasz Oktaba - mwandishi
P.S. Ikiwa ungependa mchezo, tafadhali nipe nyota 5 ★★★★★ :)