:name ikoni

Ada – chunguza afya yako

Ada Health

Ijue afya yako na kagua dalili zako. Jifunze zaidi kuhusu magonjwa.

Ada – chunguza afya yako picha ya skrini 0 Ada – chunguza afya yako picha ya skrini 1 Ada – chunguza afya yako picha ya skrini 2 Ada – chunguza afya yako picha ya skrini 3 Ada – chunguza afya yako picha ya skrini 4 Ada – chunguza afya yako picha ya skrini 5 Ada – chunguza afya yako picha ya skrini 6 Ada – chunguza afya yako picha ya skrini 7
Maelezo

Ada inaweza kukusaidia wewe, familia yako, na marafiki zako kuchanganua dalili na kupata tathmini sahihi. Imeundwa na madaktari na wanasayansi, Ada inafahamu maelfu ya dalili na magonjwa.

Ada ni app ya afya iliyoundwa na madaktari kufikiri kama daktari. Jiunge na watu milioni 10 ambao tayari wameshapakua Ada - app ya afya yako mobile.

Kagua dalili zako mahala popote na wakati wowote. Ijue afya yako kupitia Ada.

Ada inafahamu maelfu ya dalili na magonjwa. Ikiwa una dalili za vidonda vya tumbo, mimba, au magonjwa ya ngozi, unaweza kagua afya yako kwa kujibu maswali rahisi kuhusu hali yako. Ada inaweza kutathmini chanzo cha maumivu yako ya kichwa.


Ada inakusaidiaje?

Unaiambia Ada kinachokusumbua.
Halafu unajibu maswali rahisi kadhaa yanayokuhusu.
Ada inaanza kutathmini kinachoweza kuwa tatizo.
Halafu Ada inatoa taarifa yenye kuhusiana na tatizo lako papo hapo.


Unaweza kutarajia nini kutoka kwa Ada?

- Faragha na taarifa salama – tunaheshimu faragha yako na tunazingatia kanuni kali za kulinda taarifa zako
- Chaguo la kushirikisha tathmini yako – unaweza kwa urahisi kumshirikisha daktari wako kwenye taarifa kuhusu afya na shughuli yako
- Tathmini zako kupitia app zinaweza kujumuisha taarifa zinazoweza kuwa muhimu kwa daktari wako.
- Unda maelezo mbalimbali.

Unaweza kumwambia nini Ada?

Hakuna maswali yasiyosahihi. Hizi ni baadhi ya dalili za kawaida:
- Homa
- Kupoteza hamu ya kula
- Maumivu ya kichwa
- Maumivu ya tumbo
- Kichefuchefu
- Uchovu
- Kutapika
- Kizunguzungu
- Tumbo kuuma likiguswa
- Kikohozi

Magonjwa yanayoongoza:
- Mafua
- Maambukizi ya homa ya mafua
- Virusi vilivyoathiri mifupa ya pua
- Malaria
- Kisukari
- Maumivu ya kichwa mkazo
- Kipandauso
- Ugonjwa wa Utumbo (IBS)
- Ugonjwa wa wasiwasi kupita kiasi
- Mashambulizi ya hofu
- Sonona
- Klamidia
- Kisonono
- Maambukizi ya hepesi

Makundi ya kawaida:
- Magonjwa ya ngozi, kama vile vipele, chunusi, kuumwa na wadudu
- Wasiwasi wa kupata mimba
- Afya ya watoto
- Matatizo ya kukosa usingizi
- Matatizo ya kutomeng’enya chakula tumboni, kama vile kutapika, kuhara
- Maambukizi ya macho

Kuiboresha Ada ni lengo letu la kudumu, ndiyo maana mrejesho wako ni muhimu sana kwetu.

TAHADHARI: Ada haiwezi kukupa utambuzi wa matibabu. Wasiliana na huduma ya dharura mara moja katika hali ya dharura. Ada haibadilishi ushauri wa mtaalamu wako wa afya au miadi na daktari wako.

Kama una maoni yeyote, tafadhali wasiliana nasi kupitia [email protected]

Habari
  • Jina la kifurushi com.ada.app
  • Jamii Matibabu
  • Toleo jipya 3.11.0
  • License Free
  • Date 2021-06-23
  • Inapatikana kwenye google play
  • Msanidi programu Ada Health
  • Requirements Android 4.3+

Matoleo ya awali
Tazama zaidi
Ada – chunguza afya yako ikoni ya kati
3.11.0 2021.05.17

Ada – chunguza afya yako

APK

16.6 MB • Free Pakua

Ada – chunguza afya yako ikoni ya kati
3.10.1 2021.04.07

Ada – chunguza afya yako

APK

15.6 MB • Free Pakua

Ada – chunguza afya yako ikoni ya kati
3.9.0 2021.01.25

Ada – chunguza afya yako

APK

13.3 MB • Free Pakua

Ada – chunguza afya yako ikoni ya kati
3.8.0 2021.04.14

Ada – chunguza afya yako

APK

13.2 MB • Free Pakua

Ada – chunguza afya yako ikoni ya kati
3.4.0 2020.05.05

Ada – chunguza afya yako

APK

13.2 MB • Free Pakua

Programu zinazofanana